Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
HahaaaaaaHakuna watu wanajua kudanganya Umri kama Wacheza mpira na Wasanii.
Kweli Wema Sepetu wa kuwa na miaka 28 hadi leo hii 😊
Juma Nature ndiyo wa kuwa na Miaka 37 mtu yupo kwenye usanii tangu miaka ya 90 🤔
Kweli Bongo Nyosso 🙌