Mtoto wa Clement Mzinze apasua mtihani wa darasa la nne

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656

Mtoto wa mchezaji kinda wa Yanga Clement Mzinze (19) (jina kapuni) amepongezwa na ukurasa rasmi wa shule yake kwa kufanya vizuri katika mtihani wa darasa la nne wa katikati ya mwaka kwa kupata A nne na B pekee.

Itakumbukwa kuwa mtoto huyu sio wa Kwanza kufanya vizuri, kwani kipindi cha nyuma watoto wa Kaseke na Mohamed Banks wamewahi kufanya maajabu shuleni kipindi cha nyuma.
 

Kila mtoto anafanya vizuri shuleni, nyingine ni Mbwembwe tu
 
Hakuna watu wanajua kudanganya Umri kama Wacheza mpira na Wasanii.

Kweli Wema Sepetu wa kuwa na miaka 28 hadi leo hii 😊

Juma Nature ndiyo wa kuwa na Miaka 37 mtu yupo kwenye usanii tangu miaka ya 90 πŸ€”

Kweli Bongo Nyosso πŸ™Œ
 
Hakuna watu wanajua kudanganya Umri kama Wacheza mpira na Wasanii.

Kweli Wema Sepetu wa kuwa na miaka 28 hadi leo hii 😊

Juma Nature ndiyo wa kuwa na Miaka 37 mtu yupo kwenye usanii tangu miaka ya 90 πŸ€”

Kweli Bongo Nyosso πŸ™Œ
Sidhani kama Wema kafikisha miaka 28. Nimeangalia rekodi kwa sasa ama miaka 24. Bado binti mdogo. Ila ikitokea tukakutana na wema barabarani ama mgahawani ama popote, akitokea kwa bahati mbaya tu akanikonyeza ama kunionyesha ishara yoyote ile namfungulia mashtaka ya udhalilishaji.

Nature 37 wamemzidishia, nature mwaka 2001 anaimba mzee wa busara alikua na miaka 11, sasa hivi 37 kaipataje?
 
Hakuna watu wanajua kudanganya Umri kama Wacheza mpira na Wasanii.

Kweli Wema Sepetu wa kuwa na miaka 28 hadi leo hii [emoji4]

Juma Nature ndiyo wa kuwa na Miaka 37 mtu yupo kwenye usanii tangu miaka ya 90 [emoji848]

Kweli Bongo Nyosso [emoji119]
Mkuu wameomba wasikilizwe kuwa wana hiyo miaka, sasa sisi ni nani mpaka tuwapinge?
 
Ndo kusema mbuzi kala koti sio [emoji1787]
 
Trust me, Afrika uchawi upo.

Jamaa ana 19yrs ana mtoto darasa la nne
 
SI kweli, Wema alishajitoa kwenye mambo ya miaka na mara ya mwisho kuhesabu miaka aliishia miaka 26πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…