Mtoto wa Clement Mzinze apasua mtihani wa darasa la nne

Hakuna watu wanajua kudanganya Umri kama Wacheza mpira na Wasanii.

Kweli Wema Sepetu wa kuwa na miaka 28 hadi leo hii 😊

Juma Nature ndiyo wa kuwa na Miaka 37 mtu yupo kwenye usanii tangu miaka ya 90 πŸ€”

Kweli Bongo Nyosso πŸ™Œ
Hahaaaaaa
 
Hatari na Β½
 
I don't know what stresses me more, the fact that father is 19 years old &the son is in standard four, or the fact that the boy passed standard 4 and you have to advertise it Jf
 
Eng hersi alimdanganya rais Samia ikulu kwa kudanganya kuwa mchezaji mdogo wa mashindano ni Mzize ingawaje sishangai kwa utopolo kuwa waongowaongo nikikumbuka sakata la clara luvanga
 
Hakuna watu wanajua kudanganya Umri kama Wacheza mpira na Wasanii.

Kweli Wema Sepetu wa kuwa na miaka 28 hadi leo hii [emoji4]

Juma Nature ndiyo wa kuwa na Miaka 37 mtu yupo kwenye usanii tangu miaka ya 90 [emoji848]

Kweli Bongo Nyosso [emoji119]
Hivi kwanini tunawaonea wivu wenye umri mdogo?[emoji23]

Hakuna aliye lazimisha wazazi wetu watombane mapema.
 
Duh,hyo shule itakuwa ni mbovu mnooo,je wangekuwa na mtoto wangu aliyegonga A zote wangefanyaje?

Hilo ni tangazo tu kwamba hata watoto wa mastaa wanasoma shule hyo hata kama ni vilaza ili wazazi vilaza wavutike
Inshu ni kwamba huyo Mzize ana miaka 19 mtoto wake wa darasa la nne ana miaka let say 10,ina maana huyo Mzize alimpata huyo mtt akiwa na na ten years?
 
Hivi kwanini tunawaonea wivu wenye umri mdogo?[emoji23]

Hakuna aliye lazimisha wazazi wetu watombane mapema.
Haiwezekani agemates wadanganye Umri wakati wapo waliosoma nao au kukuwa nao πŸ˜…
 
Camavinga je ilisemekana ana miaka 19 siku wanashinda champions League mtoto wake akaingia Uwanjani...baadae akasema mtoto wa Dada yake [emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…