Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

Wahindi wenzetu kila kitu wanachofanya wanafanya kwa mkakati
Nilimsoma pia andy chande rip kwenye kitabu chake kuwa baada ya kutaifishwa mali zao baba wa taifa alimwambia achague kazi yoyote kwenye mashirika ya kimataifa andy alikataa hizo kazi akamwambia anataka aendelee kusimamia biashara za familia 😀
 
Yaani MIT wakupe scholarship bila kuiomba?

Niambie aliiomba hapo sawa, ila sio kwamba walimpa tu bila yeye kuomba. Inawezekana ndio ni kichwa sio kwa kiasi hicho unavompamba.
Unapewa ukiwa kichwa cha uhakika tena bila ya kuomba. Wao wanaona ni prestige kuwa na mwanafunzi mwenye uwezo fulani ambao baadae utaleta sifa kwa chuo husika.
 
sawa lakini inategemea na aina ya Elimu ambayo wazazi walitaka asome ili aweze kufiti ktk usimamizi wa Biashara.
 
Yaaani mtu aache kwenda kusoma kwenye elimu bora aende India? Mbona baba zake hawakwenda India? India ni kama bongo tu hakuna elimu kule
India wako vizuri sana kwenye elimu. Kwa mfano engineering, medicine, computer, mathematics, administration etc. Kuna ma CEO wengi Wahindi makampuni makubwa ya Marekani mfano Google etc
 

Attachments

  • Screenshot_2022-08-16-13-40-41-344_com.twitter.android.jpg
    141.3 KB · Views: 14
Af kama hujui Gullamabbas ndo baba yake Mo!! Huyu Arwa sidhani kama ana uhusiano na kina Mo!! Labda kama ni mtoto wa Murtaza!! Au majina tu yanafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…