Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

Na kuna watu watamsifia. Kwani kama angesoma chuo then akimaliza ndo akasomee kusimamia vya ndugu angepungukiwa nini
 
Yes nilisoma na baadhi chuo kikuu aisee walikuwa wanasoma Marketing, accaunting na Law
 
Sisi tunawaza tukakae offisini
 
Pesa anayoipoteza kwenye full scholarship ni ipi?

Wapi nimesema anapoteza pesa? Nimesema hawapendi kupoteza muda.. kwao muda una thamani kubwa ndio maana wakaona kwenda MIT ni kupoteza muda kwa kusomea vitu ambavyo hawavihitaji kuvijua ,,,wakati wanajua nia yake ni elimu ya kuhudumia family business yao ambayo alienda kufundishwa india
 
Anyways kila mtu ana mtazamo wake. Kwake hilo lilikua sawa
 
Mie wanangu wakimaliza form four tu basi nakaa nao hapa kwenye banda langu la kutengeneza majeneza ili wajifunze biashara ya baba yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…