Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Na kuna watu watamsifia. Kwani kama angesoma chuo then akimaliza ndo akasomee kusimamia vya ndugu angepungukiwa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na ukoo wako kwani hamuwezi beba Tunguri?Alienda India kufundishwa biashara au kubebeshwa tunguri ili asimamie biashara
India hakuna elimu bora? Dah una ujinga wa kiwango cha kutishaYaaani uluvyosema ameenda india tu basi, India hakuna elimu bora kule ila kwa nchi zetu sawa dogo kaenda kupewa mungu wao amlete dar
Kwani kuna sehemu wanazuia wewe kubeba? Waafrica si bure tunaitwa nyani, yaani akili zetu na za nyani ziko sawaAlienda kubebeshwa matunguri
Yani mimi nakunywa castle lite zangu na kitimoto hapa pembeni nina dem mkali nasindikizaje maisha hapa!!???Wacha tuendelee kuyasindikiza maisha
India unaichukulia poa? We ni fala sana, India unaichukulia kawaida?Yaaani mtu aache kwenda kusoma kwenye elimu bora aende India? Mbona baba zake hawakwenda India? India ni kama bongo tu hakuna elimu kule
Na kuna watu watamsifia. Kwani kama angesoma chuo then akimaliza ndo akasomee kusimamia vya ndugu angepungukiwa nini
Wewe nini kinakuzuia kuwa kama wao?Huwajui wahindi wewe, tulia hivyohivyo. Alafu wao wala hawajifichiki kwenye kufanya hayo kwenye biashara Kama sisi wabongo. Mtu ofisini kajaza matunguri kibao alafu anajifichaficha, kwa muhindi hiyo haipo
Yes nilisoma na baadhi chuo kikuu aisee walikuwa wanasoma Marketing, accaunting na LawJamii ya Waasia wana mtazamo tofauti sana wa elimu ya Chuo tofauti na sisi Wamatumbi. Ndio maana hata hapa kwetu wengi wakimaliza form Six ni nadra sana kuwakuta wanahangaika kwenye vyuo vyetu hivi na hata wale wachache wanaofanikiwa kuingia kwenye hivi vyuo vyetu mara nyingi kuna aina fulani ya Course wanazosoma na hata wakimaliza huwezi kuwakuta wanahangaika na bahasha za Kaki kama sie.
Hata wasomali pia. Wafuate pale Kariakoo mwenye maduka yao ya Computer wachokoze hata na English tu ndio utashangaa hata usijue wamesomea wapi na lini.. Kuna ujanja ambao wenzetu wanao sisi bado hatuna.
Tujitafakari
Sisi tunawaza tukakae offisiniJamii ya Waasia wana mtazamo tofauti sana wa elimu ya Chuo tofauti na sisi Wamatumbi. Ndio maana hata hapa kwetu wengi wakimaliza form Six ni nadra sana kuwakuta wanahangaika kwenye vyuo vyetu hivi na hata wale wachache wanaofanikiwa kuingia kwenye hivi vyuo vyetu mara nyingi kuna aina fulani ya Course wanazosoma na hata wakimaliza huwezi kuwakuta wanahangaika na bahasha za Kaki kama sie.
Hata wasomali pia. Wafuate pale Kariakoo mwenye maduka yao ya Computer wachokoze hata na English tu ndio utashangaa hata usijue wamesomea wapi na lini.. Kuna ujanja ambao wenzetu wanao sisi bado hatuna.
Tujitafakari
Kuna wajinga humu wanaichukulia poa IndiaIndia wako vizuri sana kwenye elimu. Kwa mfano engineering, medicine, computer, mathematics, administration etc. Kuna ma CEO wengi Wahindi makampuni makubwa ya Marekani mfano Google etc
India sio Taifa la kawaida wale tambua kwa sasa wana uchumi mkubwa number 4 DunianiTatizo la kuokota vitu twitter
Pesa anayoipoteza kwenye full scholarship ni ipi?Kupoteza muda ni hatari kuliko kupoteza pesa..
Wenzetu wanakwenda na muda... ndio maana mo dewji aliozeshwa akiwa 23 yrs
Masikini tunajipa matumainiYaani ununue mtihani unaotoka baraza la mitihani la marekani.
Mtihani wa kupeleka watu Havard unaununua kwa bei gani?
Pesa anayoipoteza kwenye full scholarship ni ipi?
Anyways kila mtu ana mtazamo wake. Kwake hilo lilikua sawaWapi nimesema anapoteza pesa? Nimesema hawapendi kupoteza muda.. kwao muda una thamani kubwa ndio maana wakaona kwenda MIT ni kupoteza muda kwa kusomea vitu ambavyo hawavihitaji kuvijua ,,,wakati wanajua nia yake ni elimu ya kuhudumia family business yao ambayo alienda kufundishwa india
Hayo ndo mawazo sahihi ya kipumbavu yanayofanya wewe uwe mwafrika halisi.Alienda India kufundishwa biashara au kubebeshwa tunguri ili asimamie biashara
India ni bongo kuliko changamka huo ndio ukweliIndia unaichukulia poa? We ni fala sana, India unaichukulia kawaida?
😂 😂 😂 😂 😂 Bora ni baki tu na ujinga wangu ila Ukitaka elimu bora nenda dunia ya kwanzaIndia hakuna elimu bora? Dah una ujinga wa kiwango cha kutisha
Mie wanangu wakimaliza form four tu basi nakaa nao hapa kwenye banda langu la kutengeneza majeneza ili wajifunze biashara ya baba yaoHabari wadau.
Wahindi wapo makini sana na biashara zao. Watoto wao wanasomeshwa kwa malengo yao tu.
Mtoto wa kaka yake na Mo dewji ambaye anaitwa Gullam Dewji alikuwa kichwa kweli kweli katika shule ya kishua ya IST.
Alipomaliza high school alifanya vizuri sana katika mtihani wake wa SAT na ACT ambayo scores zake ndizo kipimo kinatumika kuingia vyuo vikubwa marekani na vyuo vikuu vya nchi kubwa zilizoendelea kama oxfords etc. Maksi alizopata chuo kikuu namba 1 duniani kinachoitwa MIT kilimpa admission with full ride scholarship.. yaani kila kitu buree kazi yake kusomaa tu.
Cha kushangaza mtoto huyo alikataa hiyo offer ya MIT kwa sababu alipaswa aende kufundishwa jinsi ya kuendesha biashara za familia yao huko nchini india.
Tangu shule ya IST imeanzishwa hakujawai kutokea mwanafunzi wa ki Tanzania aliyekataa full ride scholarship ya chuo kikuu namba moja duniani zaidi ya huyo mtoto wa Gullam Dewji.
Najiuliza tu hivi kuna mzazi Tanzania ama Mtoto anaweza kataa mwanae asiende kusoma hata udsm tu sababu anapaswa kufundishwa biashara ya familia ?
ARWA GULLAM ABASS DEWJI alishangaza mpaka walimu wa IST kwa hiyo jeuri.
View attachment 2337842