Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuelekea uchaguzi 2025 , mkoa mzima ndo hizo tano pekee?
 
Unaweza kutoa bure pikipiki tano hapo ulipo na ukapuku wako wa akili? Unafahamu thamani yake?
Mwehuu wewe....unajitoa ufahamu wako sababu njaa iko kichwani wewe huwezi kununua pikipiki 5? Boyaaa kweliii wewee......njoo nikupe mkataba uendeshe boda wako wenzako 17 hapo nje na mkataba.....eti bida 5 zinakutoa utu wako...wewe utaolewaaa....bitoto hivyo vinakuruma kuuza utu wako
 
Naona wivu umekushika mpaka unatoa povu tu.
 
Umeanza vizuri, lakini ulivyomaliza umedhalilisha utu wako.
 
Una mambo ya kishamba na yenye roho ya wivu mkubwa sana.
Labda tu nikuambie kitu dogo
Niko chamani tangu 2006 lakini sitegemei uchawa kama harakati zangu za kimaisha kupitia chama
Naguswa kukitetea na kukishauri chama pale mambo yanapokwenda hovyo na sio kusifia sifia tu ili ugali wangu upite kinywani la hasha hatukuandaliwa hivyo
Nakupa pongezi chawa mzoefu kazi yako nzuri
 
Mimi nipo CCM kabla ya huo mwaka na nakuhakikishia kuwa hatuna mwana CCM aina yako asiye jitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…