Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.

Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.

Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mnamtumia mpate sapoti ya ile gang.
 
Wao. Pesa zile alizoiba jpm zinaanza kifanya kazi lilikuwa swala.la muda tu. Tundu lisu alisema kuna magunia kibao ya pesa yapo chumbani kwa jpm. Nchi ilipatwa
 
Anatumiwa na Mama hujiongezi ?? Kura za huruma za Sukuma Gang.....

Wabeejaga gete binti Magufuli. Neyo rulu tukunona geete Bebe ureta gawiza . Wabeeeja gete geeete. Unarikiwe sana kufunya mhirya ying’we ha banhu bange.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.

Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.

Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kapata wapi hela, au ndio ya mamilioni ya dola aliyoiba Babaake yaliyofumwa ndani mwao yaliyogunduliwa baada ya kifo?
 
Wewe endelea kufanya kazi kwa Mbowe hapo na kupiga porojo zako wakati watu wanaendelea kuchanja mbuga.Ma CHADEMA mmekalia Majungu,fitina ,wivu ,chuki binafsi na uvivu halafu baadaye mnaanza kushangaa wachapa kazi wanapopata maendeleo na kuinuka kiuchumi
 
Amepata wapi hela? Msitufanye wajinga nyie
 
Wao. Pesa zile alizoiba jpm zinaanza kifanya kazi lilikuwa swala.la muda tu. Tundu lisu alisema kuna magunia kibao ya pesa yapo chumbani kwa jpm. Nchi ilipatwa

Waswahili wanakamsemo “ shukran ya punda mateke”,
Ehaaha rule nzobe uruyiguta ikukutura na Maguru “

Bebe rekaga ubudoshi gwako. Magufuli alikuwa muaminifu saana, usimsingizie wizi. Amechangia watu na binti yake na yeye anafuata nyayo za baba yake,
 
Back
Top Bottom