RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Kazi iendelee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamtumia mpate sapoti ya ile gang.Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
WTF 😀Jokate: Uchumi wa Tanzania unategemea Bodoboda
Huyo ccm wanamtumia kupata sapoti ya wale pro jiwe.Pesa kapata wapi? Halafu atarizirejesha vipi?
UWT mnatakiwa mvae uniform muda woteHivi kwanini hupelekwi hospitalini? Au ndugu zako nao wamekuzila?
Wewe haukupaswa kuwa hapa jukwaani zaidi ya hospitaliniUWT mnatakiwa mvae uniform muda wote
Wao. Pesa zile alizoiba jpm zinaanza kifanya kazi lilikuwa swala.la muda tu. Tundu lisu alisema kuna magunia kibao ya pesa yapo chumbani kwa jpm. Nchi ilipatwaNdugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yaani wewe ni mjinga aseeWewe haukupaswa kuwa hapa jukwaani zaidi ya hospitalini
Anatumiwa na Mama hujiongezi ?? Kura za huruma za Sukuma Gang.....
Kapata wapi hela, au ndio ya mamilioni ya dola aliyoiba Babaake yaliyofumwa ndani mwao yaliyogunduliwa baada ya kifo?Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeoView attachment 3136209View attachment 3136210View attachment 3136211
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe endelea kufanya kazi kwa Mbowe hapo na kupiga porojo zako wakati watu wanaendelea kuchanja mbuga.Ma CHADEMA mmekalia Majungu,fitina ,wivu ,chuki binafsi na uvivu halafu baadaye mnaanza kushangaa wachapa kazi wanapopata maendeleo na kuinuka kiuchumiKapata wapi hela, au ndio ya mamilioni ya dola aliyoiba Babaake yaliyofumwa ndani mwao yaliyogunduliwa baada ya kifo?
Amepata wapi hela? Msitufanye wajinga nyieWewe endelea kufanya kazi kwa Mbowe hapo na kupiga porojo zako wakati watu wanaendelea kuchanja mbuga.Ma CHADEMA mmekalia Majungu,fitina ,wivu ,chuki binafsi na uvivu halafu baadaye mnaanza kushangaa wachapa kazi wanapopata maendeleo na kuinuka kiuchumi
Wao. Pesa zile alizoiba jpm zinaanza kifanya kazi lilikuwa swala.la muda tu. Tundu lisu alisema kuna magunia kibao ya pesa yapo chumbani kwa jpm. Nchi ilipatwa
Kwani wewe siyo mjinga? Hivi huwa unajiona upo sawa kichwani mtu unayefanya kazi ya umbea muda wote Utafikiri huna kazi za kufanya?Amepata wapi hela? Msitufanye wajinga nyie
Amepata wapi hela? Msitufanye wajinga nyie
Kwani yeye ni wa kwanza kufeli we vipi?haya wewe uliyefaulu unamzidi nini au umetoa nini?Hivi ile hoja ya yeye kufeli na kusoma foundation huku baba ake akipelekea moto waliosoma foundation hivi, ILIISHIA WAPI?
#YNWA
#YANGA BINGWA
Acheni ukabila
Jibu hojaKapata wapi hela, au ndio ya mamilioni ya dola aliyoiba Babaake yaliyofumwa ndani mwao yaliyogunduliwa baada ya kifo?
Waabeja n’gwaniki Jesika. Waabeeja gete binti Magufuli. Ubarikiwe saanaTatizo la Jesca ni kwamba kichwani ni mweupe sana.
Jibu hoja
Ova