Mtoto wa kambo haniheshimu kama baba, nifanyaje?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana Haniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje? au nimfukuze hapa home?

Source: Nimeitoa Twitter 😁
 
Fanya we ndio huyo kijana ungemuheshimu mtu mwenye mahusiano na mama yako na umri umempita vitu vingine aibu sana hata kuviongea huyo kijana ana haki ya kukufanyia hivyo
 
20230917_112341.jpg
 
Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana aniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje?

Source: Twitter
Mental health issues are real.
 
Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana aniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje?

Source: Twitter
Kuna probability kubwa unahudumiwa. Hapo heshima lazima ikosekane maana umekimbja majukumu.
 
Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana aniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje?

Source: Twitter
Kwanza jifunze kuandika! Anielewi ni nini? Au unamaanisha hanielewi
 
Back
Top Bottom