Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Baba mwenyewe alikuwa akidoji darasa, ona sasa hata kuandika kiswahili hajui!Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana aniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje?
Source: Twitter