Mtoto wa kambo haniheshimu kama baba, nifanyaje?

Mtoto wa kambo haniheshimu kama baba, nifanyaje?

Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana aniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje?

Source: Nimeitoa Twitter 😁

Ushawahi kutoka na bibi wa 55yrs?
MALIZIA UNACHOTAKA KUSEMA NIKUPE JIBU LA JUMLA
 
Lawama ziende kwa huyo mwanamke 55 yrs halafu unatembea na kijana wako blood facken kabisa
Shida sio mama hamna sehemu iliyoandikwa kuwa miaka ya kuwa na mume ni miaka mingapi?? But mtoa mada Prakatatumba abaabaabaa heshimu watu ùlio wakuta aisee hata kama umempita umri licha ya huyu mtu kakupita aio vizuri kujiona wewe ndio baba wa boma , jua hili wengi wameshapita wakamwacha mwamba hapo hapo, wekeza aisee maisha hayatabiriki tenamaisha hayo uliopo sasa
 
Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana Haniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje? au nimfukuze hapa home?

Source: Nimeitoa Twitter 😁
Subiri Siku unyongewe ndani 😂😁
 
Nijue kwanza kama.umeshawahi kitoka nao, siwezi malizia kitu ambacho sina uhakika nacho
Masuala mengine ni physiology si lazima uwe umefaanya MENOPAUSE NI KATI YA 45-55,MWANAMKE AKISHA KUWA KATIKA UMRI HUO,Eostrodiol na TESTESTORONE uzwalishwaji wake unakuwa limited sambamba na hilo maumbile yake huanza kusinyaa na Bartholin"s glands zinakuwa limited katika production ya ute.
 
Sawa daktari.
 
Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana Haniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje? au nimfukuze hapa home?

Source: Nimeitoa Twitter [emoji16]
[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida sio mama hamna sehemu iliyoandikwa kuwa miaka ya kuwa na mume ni miaka mingapi?? But mtoa mada Prakatatumba abaabaabaa heshimu watu ùlio wakuta aisee hata kama umempita umri licha ya huyu mtu kakupita aio vizuri kujiona wewe ndio baba wa boma , jua hili wengi wameshapita wakamwacha mwamba hapo hapo, wekeza aisee maisha hayatabiriki tenamaisha hayo uliopo sasa
Nitajitahidi Lakini Mimi sio jobless Nina kazi nzuri tu hapa dar.
 
Kibongobongo hata mm ningekuwa kama kijana wa 35, yaani hapo anajua kabisa kuwa unamchuna tu mama yake, na kama mama ana uwezo anahisi mother atakuwa kuna vtu anakufanyia wewe kisiri na ikitokea akafa utabaki navo, ndo maana anakuchukia, unaanzaje kumfukuza mtu kwao? we ndo unatakia ufukuziwe mbali. japo ni chai lkn.

raisi wa ufaransa ni mdogo kuliko mtoto wa kwanza wa mke wake.

napita tu.
 
Fanya we ndio huyo kijana ungemuheshimu mtu mwenye mahusiano na mama yako na umri umempita vitu vingine aibu sana hata kuviongea huyo kijana ana haki ya kukufanyia hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom