Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
NakaziaChai bila sugar
Unashabikia huu ujinga?Oaneni na mama'ke mtaheshimiana.
Uasherati na uzinzi ni uchafu.
Mental health issues are real.Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana aniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje?
Source: Twitter
Kivipi??Mental health issues are real.
Kuna probability kubwa unahudumiwa. Hapo heshima lazima ikosekane maana umekimbja majukumu.Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana aniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje?
Source: Twitter
Kuwa na mahusiano na mtu ambaye ameshapita menopause ni ujinga uliokithiri.Kivipi??
Kwanza jifunze kuandika! Anielewi ni nini? Au unamaanisha hanielewiMimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana aniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje?
Source: Twitter
FukuzaaMimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana aniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje?
Source: Twitter
Sunnah au sio!Oaneni na mama'ke mtaheshimiana.
Uasherati na uzinzi ni uchafu.