Mtoto wa kambo haniheshimu kama baba, nifanyaje?

Baba mwenyewe alikuwa akidoji darasa, ona sasa hata kuandika kiswahili hajui!
 
aniheshimu! Hebu tafsiri kwa kikwenu labda nitaelewa kusudio lako.
 
Imenibidi nicheke kwanza, hivi wewe unatarajia kupata heshima kutoka kwa 'mtoto wako' ambae ni mkubwa kiumri kuliko wewe?

Hapo hata ingekuwa mimi ningekuacha ukaendelea na shughuli zako na mimi uniwache na zangu lakini siyo kukuamkia 'shikamoo baba'.
 
Sijaelewa lugha au ndo uzee unakuja kwa kasi ya DP world?

Aniheshimu = Ananiheshimu au mwambieni aniheshimu

Haniheshimu = hataki kunipa heshima, hanipi heshima

Sasa heading yako na contents ulikuwa unamaanisha nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…