Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

Nyie ndio mnatufanyaga wanaume wa dsm tunaonekana viaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kuja kulala nae hadi usingizi umpitie ndio mumuhamishe nadhani angekuwa nae chumban kwake usingizi ukimpitia baba aje chumbani kwenu. Itaanza kumjengea mtoto kuwa kwanza natakiwa nilale huku na kukizoea chumba chake siku zinavyokwenda atazoea kulala mwenyewe tu
 
Mkitumia nguvu mtaharibu! Wengi wanatoa ushauri bila kuwa na uzoefu. Mimi nina uzoefu kwa mabinti wawili wangu.
Nguvu ni pale itaposhindikana mtoto anaongozwa iwe hiyari au nguvu
 
Anamtumiaje motto wake sasa, msitufanye wajinga sisi tunaokaa na watoto wetu wa kike
 
Reading between the lines...wewe ni mama wa kambo mwenye roho mbaya sana
 
Wazungu wsmetuacha mbali sana, mtoto anafunzwa kujitegemea mapemaaa. Sisi tunajifanya tunajua sana kulea na kupenda watoto, ndio hawa wakifika chuo wanaolewa kwa mkataba wa miaka mitatu.
 
Uttarra nimepitia comments zako uko vizuri kichwani na imani utajenga familia bora

Kila mtu ana haki ya kupenda na kupendwa tho kwako mazingira ni magumu kidogo lakini usikate tamaa

Muhimu chambua comments za wadau kama Tabutupu na wengine zifanyie kazi kwa utulivu ili uweze kujenga familia yenye amani na upendo[emoji8]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure.. kichwani yupo Vizuri sana. Binafsi nimependa namna anavyojibu hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaomba ushauri kwa kitu kama hicho? chalaza bakora huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…