Mpeleke hospital kaka achana na kuchatNdio ikoje
Sijakuja kutafuta suluhu nimekuja kushare tu,nalengo mim asubuh niamkie hospital ya mkoa kabisa,maana hapa wilayani kiuweli usiku huu huduma mtu anayopewa sana nikitanda na dripu hakuna kipimo unaweza fanyiwa usiku huu nahata hiyo mda wakazi yaan saa,ndio maana nawaza kwenda mkoaniKwanini huwa mnakimbilia humu kwa mambo serious kama hayo?
Ninavyoamini mimi ni kuwa kwenye mitandao huwa tunakuja kuomba ushauri baada ya tiba au diagnosis za awali kushindikana.
Yani kutafuta tiba mbadala au kama kuna mtu aliwahi kupata changamoto ya hivyo na ikawa solved.
Ilitakiwa uwahi hospitali ikishindikana ndio unakuja humu kutafuta suluhisho.
Ni kweli Hospitalini watabaini Kilichosababisha hali hiyo-Tatizo ni nini.Kichocho, kuna mahala kanywa maji sio safi...
Ama amecheza kwenye madimbwi ya maji machafu...
Usipanick ukifika hospital atatibiwa vizuri tu..
Nikweli acha nifike wacheck,Sasa ngazi ipi ya hospital nibora Zaid kwa matibabu kama hayo yakichochoPole sana mkuu
Yah muhimu kucheki na Kichocho (urinary Schistosomiasis). hasa kama maeneo mnayokaa ni karibu na Ziwa au mito au mashamba ya mipunga au madimbwi ya maji wanakocheza watoto na kama kuna historia au kipo kichocho maeneo hayo.
Kama hamna ...check pia travelling history ya miez ya karibuni kama alisafiri kwenda maeneo hayo.
Mwenyezi Mungu amponye dogo akae fresh.
Ikiwa positive.
Praziquantel drug of choice.
Pole sana masta. Jitahidi kesho mapema.Mkuu Niko wilayani huduma zinazotolewa haziridhishi ndio maana nataka kuamkia hospital yamkoa
Ngazi ipi ya hospital wanaweza baini hii tatizo na kutibu namaanisha kituo Cha afya,hospital ya wilaya au hospital ya mkoa ya rufaaNi kweli Hospitalini watabaini Kilichosababisha hali hiyo-Tatizo ni nini.
Usiwapuuze wa Wilayani maana Inaweza ikaja siku Ukawahitaji.Sijakuja kutafuta suluhu nimekuja kushare tu,nalengo mim asubuh niamkie hospital ya mkoa kabisa,maana hapa wilayani kiuweli usiku huu huduma mtu anayopewa sana nikitanda na dripu hakuna kipimo unaweza fanyiwa usiku huu nahata hiyo mda wakazi yaan saa,ndio maana nawaza kwenda mkoani
Ndo akili yangu inawaza huko inaweza kuwa Zaid ya hiyo kichocho ndio maana nataka kwenda hospital ya mkoaMnawaza kichocho tu'
Hamuwazi inflammation zozote za kwenye kidney au bladder... Ni kichocho tu' siyo?
Peleka mtoto hospital
Sawa mkuu wahi hospitalini mapema kijana afanyiwe uchunguzi apewe matibabuSijakuja kutafuta suluhu nimekuja kushare tu,nalengo mim asubuh niamkie hospital ya mkoa kabisa,maana hapa wilayani kiuweli usiku huu huduma mtu anayopewa sana nikitanda na dripu hakuna kipimo unaweza fanyiwa usiku huu nahata hiyo mda wakazi yaan saa,ndio maana nawaza kwenda mkoani
KiongoziNikweli acha nifike wacheck,Sasa ngazi ipi ya hospital nibora Zaid kwa matibabu kama hayo yakichocho
Usiwapuuze wa Wilayani maana Inaweza ikaja siku Ukawahitaji.
SinaUsiwapuuze wa Wilayani maana Inaweza ikaja siku Ukawahitaji.
Ngazi zote hizo wanauwezo wa kubaini tatizo. Pale watakaposhindwa watakuelekeza ngazi ya juu. (Referal). e.g. Kama ni kichocho (Blood flukes) wanaonekana kwa darubini ya kawaida; na darubini hizo zipo kila zahanati kijijini.Ngazi ipi ya hospital wanaweza baini hii tatizo na kutibu namaanisha kituo Cha afya,hospital ya wilaya au hospital ya mkoa ya rufaa
Mostly kwenye matibabu, siyo aina ya hospital Bali ni aina Daktari unayekutana naye... Pia usisahau kuwa friendly kwa anayekuhudumia ili upate wasaa wa kumuuliza au kuuliza maswali meengi kuhusu changamoto ya mwanaoNdo akili yangu inawaza huko inaweza kuwa Zaid ya hiyo kichocho ndio maana nataka kwenda hospital ya mkoa
ALAA kumbe ni hivoKiongozi
Hicho kipimo kituo cha afya/hospitali ya wilaya uhakika unapata kupimwa huo mkojo.
Kama ni KICHOCHO , MTAALAMU AKIWA MAKINI/ MTAALAMU MAKINI kuangalia "sediments za chini" baada ya kuuacha mkojo utulie kama dakika 20 tu mayai hushuka chini then akichek anaona mayai ya Mdudu wa kichocho. So hapo ni microscope tu inahitajika basi.
Nje ya hapo wahi kwa wataalamu ngazi ya juu ,mkoani nk dogo apate huduma sahihi.
Namim huwa nakuwa friendly nkakuuliza vitu vingi mara nyingi nimejikuta madaktari wengi wananipa muda wakunisiliza nakunipa elimu kwa udani Zaid,maana navokua naulizaga wananiona ni mtu nae jali sana afya Hadi wananambia upo tofaut nawagonjwa wengi wanaokutana naoMostly kwenye matibabu, siyo aina ya hospital Bali ni aina Daktari unayekutana naye... Pia usisahau kuwa friendly kwa anayekuhudumia ili upate wasaa wa kumuuliza au kuuliza maswali meengi kuhusu changamoto ya mwanao
All the best
Exactly yes. Watoto wanaweza ku-overdue katika michezo yao au mwenzake akampiga e.g. teke eneo la kinena au akaanguka vibayana kusababisha mchubuko kwenye kibofu cha mkojo. Lakini cha msingi Ampeleke dogo Hosp.Mostly kwenye matibabu, siyo aina ya hospital Bali ni aina Daktari unayekutana naye... Pia usisahau kuwa friendly kwa anayekuhudumia ili upate wasaa wa kumuuliza au kuuliza maswali meengi kuhusu changamoto ya mwanao
All the best