malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
- Thread starter
- #41
Nikweli kabisa mkuu aina ya daktari unaekutana nae anaweza akawa msaada mkubuwa wakubaini tatizo na tiba yake nasi aina ya hospitalMostly kwenye matibabu, siyo aina ya hospital Bali ni aina Daktari unayekutana naye... Pia usisahau kuwa friendly kwa anayekuhudumia ili upate wasaa wa kumuuliza au kuuliza maswali meengi kuhusu changamoto ya mwanao
All the best