Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Rudi hospital afanye urine microscopy,huenda bado kuna mayai ya wadudu baada ya kuumiza mishipa ya kibofu,Anywe maji mengi safi,na panadol,#rudi tena hospital..Ameshamaliza dawa ya kichocho Leo asubuh lakini mpaka Sasa anakojoa mkojo ule ule