Mtoto wa kiume anakojoa damu umri maiaka10

Mostly kwenye matibabu, siyo aina ya hospital Bali ni aina Daktari unayekutana naye... Pia usisahau kuwa friendly kwa anayekuhudumia ili upate wasaa wa kumuuliza au kuuliza maswali meengi kuhusu changamoto ya mwanao

All the best
Nikweli kabisa mkuu aina ya daktari unaekutana nae anaweza akawa msaada mkubuwa wakubaini tatizo na tiba yake nasi aina ya hospital
 
Siwezi kufanya hivo mkuu,mim huwa naelezea tatizo husika nakama Kuna mahala nilitibiwa ntataja nilitibiwaje na dawa zipi nazipi nilipewa basi
 
Sema majanga hayajawahi kukuishia,kila unapoleta thread ni za matatizo tu,kama sio biashara basi za magonjwa.
Pole sana kemea hiyo roho ktk familia yako..anza maombi
 
Sema majanga hayajawahi kukuishia,kila unapoleta thread ni za matatizo tu,kama sio biashara basi za magonjwa.
Pole sana kemea hiyo roho ktk familia yako..anza maombi
Hapa tu navokwambia nimemaliza discussion jioni na tra ya auditing nimetolewa assessment ya Kodi ya 68m,
 
Yaani hiyo ishu ni dalili ya magonjwa mengi kuanzia kichocho mpaka figo kufeli.

Sasa kwakua amekaa muda wote shule hii inamaanisha hana maumivu. Kwahiyo wewe huo muda aliorudi mngeenda hospital.

Acha utani na afya ya mtu
 
Ndo Niko hospital hapa
Usisahau kutupa mrejesho wa uchunguzi wa daktari sisi wajomba zake na kijana wetu. Tumempanbania sana and hopefully leo leo hii baada tu ya kuanza dose atarudi katika afya yake njema
 
Bado hajakosea!
 
Usisahau kutupa mrejesho wa uchunguzi wa daktari sisi wajomba zake na kijana wetu. Tumempanbania sana and hopefully leo leo hii baada tu ya kuanza dose atarudi katika afya yake njema
Mrejesho ni muhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…