Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mkuu ndio Niko hospital hapa l,hospital ya mkoa,Niko kwenye foleni ya kusubiria kumuona daktarkitaalamu inaitwa hematuria - ni dalili inayohitaji kuonana na daktari haraka sana, sio kusubiri.
Kwa umri huo hizi ndizo sababu zinazoongoza:
1. Kichocho / Bilharzia (Schistosomiasis)
Hii ndiyo sababu ya kwanza kuchunguzwa Dar na mikoa mingi. Husababishwa na kuoga au kucheza kwenye maji ya mito/mabwawa yenye vimelea. Dalili: mkojo mwekundu mwishoni mwa kukojoa, maumivu kidogo, kukojoa mara kwa mara.
2. Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)
Bakteria. Dalili: homa, kuungua wakati wa kukojoa, kukojoa kidogo kidogo mara nyingi, mkojo kunuka sana.
3. Kuvimba kwa figo (Glomerulonephritis)
Hutokea wiki 1-2 baada ya mafua ya koo au maambukizi ya ngozi. Figo hushindwa kuchuja vizuri. Dalili: mkojo wa rangi ya chai/kahawa, uso kuvimba hasa asubuhi, shinikizo la damu kupanda.
4. Mawe kwenye figo au kibofu
Maumivu makali ya mgongo au chini ya tumbo.
5. Kuumia au mazoezi makali
Kama ameumia tumbo/mgongo alipocheza, au kukimbia sana.
- Mpeleke hospitali leo leo. Hii si hali ya kutibu nyumbani. Nenda kituo cha afya, hospitali ya wilaya,
- Mpe maji ya kunywa ya kutosha safi.
Hivi huo ujasiri wa kusubiri mpaka asubuhi unautoa wapi...?Habar wakuu nakijana wangu umri miaka 10, Leo jioni alivotoka shule kanipa taarifa akiwa shule alienda kukojoa zikawa zinatoka damu akawa kajifunga kitambaa kwa muda wote akiwa shule leo,bahat mbaya hakumwambia hata mwalimu wake wa darasa,karudi nyumbani jioni akanambia hali aliokua nayo
Bas nikachukua jukumu lakuchunguza hiyo hali ya mkojo,baada ya muda akabanwa na mkojo inabid nimwambie akojolee kwenye kopo kweli mkojo unatoka uliochanganyikana na damu,
Wakuu ushauri wenu mtoto anaweza akawa anaugua ugonjwa Gani asubuh ,nataka kumpeleka hospital ya mkoa je nionane na daktari yupi wa watoto au wamagonjwa ya ndani,naambatanisha mapicha mkojo ulivyo
View attachment 3672131
Mbona mnamawenge wakuu,mtu ndo mzazi naona hali aliyonayo mtoto,tayar Niko hospital nowDah,ila kuna watu na viatu humu duniani,hivi huo ujasiri wa kusubiri mpaka asubuhi unautoa wapi...?
Mrejesho muhimu SANAAAAAAMkuu ndio Niko hospital hapa l,hospital ya mkoa,Niko kwenye foleni ya kusubiria kumuona daktar
Una edit hapo juu then andikaNawezaje kutoa mrejesho mwanzoni katika hii nyuzi,
AiseeeeMkuu ndio Niko hospital hapa l,hospital ya mkoa,Niko kwenye foleni ya kusubiria kumuona daktar
Mrejeshomalembeka18 Tunaomba mrejesho mkuu!
Poleni mkuu.Mrejesho
Nilirudi hospital kwa mara ya pili na sample mbili za mkojo,mkojo wenye damu na mkojo msafi,sample zote mbili zikapimwa ikaonekana mkojo wenye damu una kichocho lakin mkojo huo umekaa masaa Zaid ya kumi
Bas tukaandikwa plazquantel 600mg vidonge 4 vya 600mg ndio kaanza kutumia juzi usiku
Leo asubuh anamalizia kidonge Cha mwisho lakini Bado anakojoa mkojo wenye damu,natangia usiku wa saa tatu Hadi mda huu kapata mkojo kidogo tu
Ok,pole sana baada ya dose kuisha,akapime tena hospitali nyingine, yaelekea alianza kutoa damu kitambo kidogo ispokuwa alikaa kimya,poleni sana #Anywe maji mengi sana!Mrejesho
Nilirudi hospital kwa mara ya pili na sample mbili za mkojo,mkojo wenye damu na mkojo msafi,sample zote mbili zikapimwa ikaonekana mkojo wenye damu una kichocho lakin mkojo huo umekaa masaa Zaid ya kumi
Bas tukaandikwa plazquantel 600mg vidonge 4 vya 600mg ndio kaanza kutumia juzi usiku
Leo asubuh anamalizia kidonge Cha mwisho lakini Bado anakojoa mkojo wenye damu,natangia usiku wa saa tatu Hadi mda huu kapata mkojo kidogo tu
Ameshamaliza dawa ya kichocho Leo asubuh lakini mpaka Sasa anakojoa mkojo ule uleOk,pole sana baada ya dose kuisha,akapime tena hospitali nyingine, yaelekea alianza kutoa damu kitambo kidogo ispokuwa alikaa kimya,poleni sana #Anywe maji mengi sana!
Ok,pole sana baada ya dose kuisha,akapime tena hospitali nyingine, yaelekea alianza kutoa damu kitambo kidogo ispokuwa alikaa kimya,poleni sana #Anywe maji mengi sana!
Sina uhakika kama upo serious, tafuta hospitali kubwa umpeleke huyo mtoto, na tafuta viongozi wa kiroho wamuombee huyo mtoto.Ameshamaliza dawa ya kichocho Leo asubuh lakini mpaka Sasa anakojoa mkojo ule ule
Mkuu nipo serious ndio maana nimekuja Huku kwenu kwa wazoefu kuuliza hospital kubwa Zaid ambayo atapata matibabu ya uhalika nakubaini tatizo hili,Sina uhakika kama upo serious, tafuta hospitali kubwa umpeleke huyo mtoto, na tafuta viongozi wa kiroho wamuombee huyo mtoto.
Upo Mkoa gani?Mkuu nipo serious ndio maana nimekuja Huku kwenu kwa wazoefu kuuliza hospital kubwa Zaid ambayo atapata matibabu ya uhalika nakubaini tatizo hili,
Niko mkoa watabora mkuu,Upo Mkoa gani?
Niko mkoa watabora mkuu,Upo Mkoa gani?