Sio dada ako hata mama ako tu akigombana na baba ako huna mamlaka ya kuingilia.ila uvumilie utakapoona dadaako anafanyiwa mambo sivyo na huyo shemeji yenu kaa kimya hata akishushiwa natusi na kipondo usiingilie ugomvi wao kumsaidia dadaako
UnabanduliwaAkili yako ni ndogo kama kisoda
Acha kabisaItakua dada hatoi vizuri hizo kazi wanafanyaga ndugu wa mume
Hata wifi yako akigombaniwa usiingieSio dada ako hata mama ako tu akigombana na baba ako huna mamlaka ya kuingilia.
Unabanduliwa
Eeh
hakika
Bado wewe unashida ya mindset ya ku generalise huwenda huyo graduate tayari ashaanza hayo au anasubiri kuanzashida ni mindset kwamba ukisoma lazma uajiriwe,ila ukijitosa mtaani mbona kuna kazi za nguvu na watu tumepatia mitaji huko na maisha yanaenda....hata mimi ilinitesa japo sikuwahi kuishi kwa mtu,shida wasomi vijana hawatak kuanzia chini
HahahahaKwamba ukiwa haupo ndio hatapigwa miti? Sister miti atapigwa tu, huo ndio wajibu wake kula miti na ndio kilichompeleka pale kuchezea mtalimbo.
Kufaa na njaa kama ni kufaa unaogopa nnNakaa kwa sababu sina namna mzee. Unataka nikalale vichakani nife na njaa ili kuonyesha uanaume wangu ili nisiishi kwa shemeji? Huo upumbavu siwezi kufanya.
Ushabanduliwa na shemeji yako lahaulaaaWewe ni kama kondomu iliyovaliwa
Ushabanduliwa na shemeji yako lahaulaaa
Halafu kumdharu mtu katika maisha si jambo zuri na inaonesha kwamba hauko smart kichwani,binafsi namshukuru mungu hii tabia huwa naikwepa sana hata kwa mtu aliyenikera.Mkishayapatia maisha mnajisahau sana ndio kama kuna muda nilikua kwa group fulani kukawa na mchango wa 10k kwa kila memba kuna mmoja akasema hana kuna bwege mmoja akasema mtoto wa kiume unakosaje 10k kukaa kwa shemeji sio dili ila wanaokaa hawapendi
Kwa hoja inakosa mantiki kuhusu dhana nzima ya kuishi kwa shemeji kwa sababu kwa hali ya kawaida hata kama unaishi kwa wazazi wako si busara kubweteka, ni lazima ujishughulishe kwa namna yoyote iliyo halali.ninachopinga mimi ni mtu kukaa kwa shemeji huku hana effort yeyote kujikwamua wakat kuna vibarua mtaani na watu wanafanya wana family,wamepanga na wanasomesha plus kusaidia wazazi,sasa iweje wew kijana ukae,ule msosi wa shemeji,this is not right hasa kwa maisha ya sasa!...karibu %80 ya watu wameanzia chini na kukua!maisha ni magumu mkuu ila tusibweteke!
Sawa ila kukaa kwa shemeji ni dharau kama umejikojolea .ndani ya daladala.Maisha mnayachukulia poa sana kisa mmejipata mnawadharau wanaokaa kwa mashemeji,Mimi nimekaa kwa shemeji miaka 3 nilivyojipata nikaondoka Leo ndio nawalea watoto wake baada ya yeye kutangulia mbele ya haki.