Mtoto wa Kiume kadri anavyokua huanza kumsamehe Baba yake

Vitu nilivyomsamehe Mzee baada ya mm kuwa mtu mzima ( RIP My Father)
1. Kuwa na mtoto wa Nje
2. Kurudi usiku home sometime kalewa
3. Kuninyima hela nikimuomba esp ya kuchekia Muvi vibanda umiza au mazingaombwe😀
4. Muda mwingi hatukai nae yupo tu busy busy.
5. Kugombana gombana na Bi mkubwa.
Na mengine mengi
 
Itakuwa bado upo kwa mzee apo home.
Kuwa mtu mzima Na anzisha familia yako ndio utaelewa ukiwa apo home lazima uone mzee anazingua.
Kwakuwa muda mwingi mpo na Mama ili hali mzee yupo kwenye utafutaji au sehem nyingine tu inayofanya muda mwingi msiwe nae.
Wewe oa pata na watoto alafu ndio upime.
Nakubaliana nawewe 100%
 
Vitu nilivyomsamehe Mzee baada ya mm kuwa mtu mzima ( RIP My Father)
1. Kuwa na mtoto wa Nje
2. Kurudi usiku home sometime kalewa
3. Kuninyima hela nikimuomba esp ya kuchekia Muvi vibanda umiza au mazingaombwe😀
4. Muda mwingi hatukai nae yupo tu busy busy.
5. Kugombana gombana na Bi mkubwa.
Na mengine mengi
Umeshacopy tabia za Baba yako.

Dogo wahi kabla hujaharibikiwa
 
Utakuwa ni mtoto mpumbavu unayelishwa sumu huku ukiwa na akili na macho yako.

Mimk habari za Baba sihitaji kusimuliwa nimezishuhudia nikiwa mdogo akiwa kama Mbogo, mgomvi, Mkatiri asiyejali, aliyejari haja zake za kumbato na kuzaa watoto kibao bila msaasa wowote.

Haya sihitaji kuambiwa na mtu wala Mana.
Tumemsamehe tu lakini hatujasahau.
 
Vitu nilivyomsamehe Mzee baada ya mm kuwa mtu mzima ( RIP My Father)
1. Kuwa na mtoto wa Nje
2. Kurudi usiku home sometime kalewa
3. Kuninyima hela nikimuomba esp ya kuchekia Muvi vibanda umiza au mazingaombwe😀
4. Muda mwingi hatukai nae yupo tu busy busy.
5. Kugombana gombana na Bi mkubwa.
Na mengine mengi
Hayo yote ni muhimu sana ukuwa kama mwanaume.

mzee wangu nilikuwa na muona njau sana na hafai japo sikuwahi shuhudia akimpiga mazaa.
Kuna vitu ambavyo nilikuwa naviona kama anazingua.

kuondoka home bila kuaga yaani mama anakuwa hajui kaenda wapi. na vile hapakuwa na simu ndo kabisa..

Akisema hataki kitu mama hata aongee maneno buku jibu halibadirki.

Maamzi ya kibabe mfano anauza mfugo mtaona wanunuzi tu zizini wanafunga ng'ombe na kuondoka nae.

Ukiomba hela anakwambia hana hata kama ktoka kupokea {alikuwa mwalimu}

na mengine tu
 
Niligundua yote akiwa ameshafariki yani mzee angekuepo angetamba sana mwanae spider ningemzingatia sanaaa mnooo
nmebaki na mama nampenda sana ila namkubali sana dingi

Upendo wa mama ni mkubwa sana kwa mwanae
Ila Mama ni mchumba wa baba tu huu
anakua anazngua kama hawa wake zetu wanavozingua
 
Hapana, mzee hataki kumuona maza anaishi kwa amani, maza anaprovide family kuliko mzee ila mzee anamtukana mbele ya watoto kila akijisikia, namuheshimu kama baba ila anafanya vitu vya kumvunjia heshima yeye mwenyewe

Mshukuru ajawahi kukuambia ubaya wa Mama yako, unakuta alimfumania, wanaume wana mambo mengi moyoni hawasemi, ndivyo huonekqna hivyo!

Kuna wakati mwanaume unaanzisha tu timbwili ili mradi mke asikuelewe misimamo yako , una Baba swadakta kabisa anayehudhuria vikao vyote muhimu!
 
Umefikia level nzuri sana ya "Empathy" mkuu, kwasasa umeelewa hisia, matendo na maneno ya mshua wako aliyokua akifanya kipindi wewe hukakomaa kiakilii..

Watu tumetofautiana kama baba ni mwema ni mwema tu, katili katili tu - unyama unyama. ila as long as una maisha yako, usimkatae , wewe ni sperm yake, ila mipaka izingatiwe....
 
Mama hajanijaza sumu yoyote ila ninavyokua namuona mzee ndio anazidi kuzingua, kuna muda natamani nimpeleke mahakamani aache kumtesa mama ila siwezi kufanya hivyo, mama analaumu kwa nini tumekua vijana wakubwa tunashindwa kumkemea baba na baba ni mjeuri kupitiliza hadi wazee wa ukoo wamemshindwa;
bado najiuliza nitachukua hatua gani familia iwe na amani ambayo sijawahi kuiona tokea nimezaliwa
Pole sana, manyanyaso kwa wanawake yapo, na jamii zingine humtreat mwanamke kama kiumbe kisicho kuwa na haki yoyote duniani, cha kukushauri siku moja ongea na ndugu zako (siblings ) mumuweke kitimoto baba yenu mumuelezee yoote yanayowakwaza juu ya matendo anayomfanyia mama na mumkanye kwa kauli za kistaarabu tu ataelewa
 
Hayo yote ni muhimu sana ukuwa kama mwanaume.

mzee wangu nilikuwa na muona njau sana na hafai japo sikuwahi shuhudia akimpiga mazaa.
Kuna vitu ambavyo nilikuwa naviona kama anazingua.

kuondoka home bila kuaga yaani mama anakuwa hajui kaenda wapi. na vile hapakuwa na simu ndo kabisa..

Akisema hataki kitu mama hata aongee maneno buku jibu halibadirki.

Maamzi ya kibabe mfano anauza mfugo mtaona wanunuzi tu zizini wanafunga ng'ombe na kuondoka nae.

Ukiomba hela anakwambia hana hata kama ktoka kupokea {alikuwa mwalimu}

na mengine tu
Umenikumbusha mbali natoka shule primary namkuta Bi mkubwa analia mzee kauza Ng'ombe bila kumshirikisha.
Kumbe mzee aliuza Ng'ombe ili apate Ada ya kumlipia braza
 
Utakuwa ni mtoto mpumbavu unayelishwa sumu huku ukiwa na akili na macho yako.

Mimk habari za Baba sihitaji kusimuliwa nimezishuhudia nikiwa mdogo akiwa kama Mbogo, mgomvi, Mkatiri asiyejali, aliyejari haja zake za kumbato na kuzaa watoto kibao bila msaasa wowote.

Haya sihitaji kuambiwa na mtu wala Mana.
Tumemsamehe tu lakini hatujasahau.
Msaada gani unataka?. Yeye baba yako nani alimpa msaada?. Endelea kupambana na wewe watoto wako wasije kosa msaada.
 
Mshukuru ajawahi kukuambia ubaya wa Mama yako, unakuta alimfumania, wanaume wana mambo mengi moyoni hawasemi, ndivyo huonekqna hivyo!

Kuna wakati mwanaume unaanzisha tu timbwili ili mradi mke asikuelewe misimamo yako , una Baba swadakta kabisa anayehudhuria vikao vyote muhimu!
Imagine mama yako mzazi anafanyiwa torturing ukiangalia, na je mama anayavumilia mangapi ambayo hawezi kumdhalilisha baba mbele ya watoto? Kila mwanadamu anaye ishi ana haki ya kuheshimiwa na kuthaminiwa kama ambavyo huyo baba anaheshimiwa, usipende kumtreat mtu ukijihesebia haki kuliko wengine. Huyo mzee anakosea hasa kumdhalilisha mkewe mbele ya watoto ambao ni wakubwa wanaelewa hata wangekuwa wadogo hatakiwi kufanya hivyo. Ukute ni inferiority complex inamsumbua anaamua kumbully mwenzie ili tu ajione mnyonge ana asokuwa na thamani
 
Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi.

Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine.

Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio.
Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama asiyejari familia, na. Chuki huwa kubwa sana Utotoni

Ila kadri Mtoto wa Kiume akianza kukua, hata kuanzisha na yeye familia, ama Uchumba ama kupata Mtoto hata na Mwanamke ambaye hajamuona.

Watoto wa Kiume walio wengi hujikuta wanawasamehe Baba zao bila hata ya kuombwa Msamaha.
UPUMBAVU MTUPU!

SIJUI KWANINI SIKU HZI WANAUME WAMEKUWA DHAIFU!

YAANI HAUJALI FAMILIA,HATA NGUO KUNUNUA NI MWAKA HADI MWAKA,MLO MMOJA KWA SIKU,UNARUDI UMELEWA,UNAPIGA PIGA MKE HOVYO MBELE YA WATOTO HALAFU BILA AIBU UNATAKA WAKUSAMAHE?

SHETANI ANAWAHARIBU WANAUME.
 
Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi.

Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine.

Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio.
Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama asiyejari familia, na. Chuki huwa kubwa sana Utotoni

Ila kadri Mtoto wa Kiume akianza kukua, hata kuanzisha na yeye familia, ama Uchumba ama kupata Mtoto hata na Mwanamke ambaye hajamuona.

Watoto wa Kiume walio wengi hujikuta wanawasamehe Baba zao bila hata ya kuombwa Msamaha.
Men kama wewe sio underage focus na maisha yako muache huyo baba hujui anazinguana na mamaako kwanini.

Hukuwepo wakati wana date na chumbani wakiwa wawili huwa haupo.

Focus with your stuff
 
Imagine mama yako mzazi anafanyiwa torturing ukiangalia, na je mama anayavumilia mangapi ambayo hawezi kumdhalilisha baba mbele ya watoto? Kila mwanadamu anaye ishi ana haki ya kuheshimiwa na kuthaminiwa kama ambavyo huyo baba anaheshimiwa, usipende kumtreat mtu ukijihesebia haki kuliko wengine. Huyo mzee anakosea hasa kumdhalilisha mkewe mbele ya watoto ambao ni wakubwa wanaelewa hata wangekuwa wadogo hatakiwi kufanya hivyo. Ukute ni inferiority complex inamsumbua anaamua kumbully mwenzie ili tu ajione mnyonge ana asokuwa na thamani

Kinachomtokea ni hiki, kaamua kukaa na kuwalea, ila Bado Kuna matendo ya Mama yenu anayakumnuka.

Nilikuwa na mke wangu kwa 20 years sijawahi mpiga hata kofi Moja toka nimuoe au watoto kuona twabishana.

Siku nimegundua anatoka nje ya ndoa akakimbilia kutafuta nimpige ili alalame, kweli nilikosea nikampiga.

Kwa sasa sijali Tena huwa namsimanga, akileta shida namtia vitasa, Kuna wakati naleta tu vurugu ili mradi.
 
wazee wanakuwaga kipengele sana kwa sisi watoto wa kiume

sijui kwanini yaani

mzee alishafariki kitambo lakini kumbukumbu yake tu inanisisimua
 
Mama hajanijaza sumu yoyote ila ninavyokua namuona mzee ndio anazidi kuzingua, kuna muda natamani nimpeleke mahakamani aache kumtesa mama ila siwezi kufanya hivyo, mama analaumu kwa nini tumekua vijana wakubwa tunashindwa kumkemea baba na baba ni mjeuri kupitiliza hadi wazee wa ukoo wamemshindwa;
bado najiuliza nitachukua hatua gani familia iwe na amani ambayo sijawahi kuiona tokea nimezaliwa
Umeoa?
 
Ha ha ha ha Yani hapo uliposema kuwa mama yenu anawalaumu kushindwa kumkemea baba yenu, hiyo ndo sumu yenyewe. Hapo sumu inawaingia idirectly. Km angekuwa hawaambii chochote juu ya baba yenu hapo ndo mngesema hawalishi sumu ila mnajionea wenyewe
 
Mama hajanijaza sumu yoyote ila ninavyokua namuona mzee ndio anazidi kuzingua, kuna muda natamani nimpeleke mahakamani aache kumtesa mama ila siwezi kufanya hivyo, mama analaumu kwa nini tumekua vijana wakubwa tunashindwa kumkemea baba na baba ni mjeuri kupitiliza hadi wazee wa ukoo wamemshindwa;
bado najiuliza nitachukua hatua gani familia iwe na amani ambayo sijawahi kuiona tokea nimezaliwa
Hama kwenu muwaache wapenz wadundane wanavyoweza kwan huyo mama kabla yakukubal kuolewa si walichunguzana
 
Back
Top Bottom