Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Itoshe kusema, kumnyanyasa mwanamke ni mapungufu makubwa ya akili, mtu kakuudhi, unaona hafai, mtengane tu uoe aliye kamilika kuliko kumnyanyasa binadamu mwenzio utafikiri wewe una maisha yako ya tofauti hapo baadaye. Mimi ni mwanamke nimelelewa na baba na mama...nampenda baba yangu, toka tuko wadogo hadi tunakuwa na familia zetu mama yetu hajawai tujaza sumu mbaya juu ya baba yetu au kushuhudia harassment kwa mama yetu. Wanaume mnaotesa wake zenu mbele ya watoto wenu au kusuport hiyo hali mkijidai vidume mna ulemavu mkubwa akilini mwenu