Huoni na wewe una mapungufu yako kichwani, vitasa vya nini, vurugu za nini bila sababu? Umeshindwa kusamehe tengana naye kaa mbali baasi.Kinachomtokea ni hiki, kaamua kukaa na kuwalea, ila Bado Kuna matendo ya Mama yenu anayakumnuka.
Nilikuwa na mke wangu kwa 20 years sijawahi mpiga hata kofi Moja toka nimuoe au watoto kuona twabishana.
Siku nimegundua anatoka nje ya ndoa akakimbilia kutafuta nimpige ili alalame, kweli nilikosea nikampiga.
Kwa sasa sijali Tena huwa namsimanga, akileta shida namtia vitasa, Kuna wakati naleta tu vurugu ili mradi.
ILA WANAWAKE, kwa hiyo unataka baada ya kumfumania amletee maua na zawadi na azidishe upendo kuliko hapo mwanzo kwa sababu moja tu aonekane baba bora 🤣, kapigwa la kulia amgeuzie kushoto ampige tena😁🙌🏻Huoni na wewe una mapungufu yako kichwani, vitasa vya nini, vurugu za nini bila sababu? Umeshindwa kusamehe tengana naye kaa mbali baasi.
Kweli kabisa yaani dunia huwa inaamini hawa Viumbe mda wote tunawaonea,Ukiondoa heshima kwa Mungu, inayofuata ni kwa my fellow country men.
Baba kwanza, mama baade
Wanawake ni watu flani hivi wa kutengeneza mazingira ya kuonewa hasa wakiwa mbele ya watoto au watu wanaoweza kuwatetea, japo hata sisi wanaume tunazingua kiana
Sio dunia, ni baadhi ya watoto wa kiume waliokulia wakishinda jikoni, kulelewa na mama peke yake, au mama kuwa na sauti kuliko baba.Kweli kabisa yaani dunia huwa inaamini hawa Viumbe mda wote tunawaonea,
Huoni na wewe una mapungufu yako kichwani, vitasa vya nini, vurugu za nini bila sababu? Umeshindwa kusamehe tengana naye kaa mbali baasi.
Wewe umejuaje Kama mama yako ndiyo alikuwa ana provide?Mkuu miaka yote tunasoma ukipiga simu kwa baba hakupi hata buku tano, mama ndio provider ameletewa hadi watoto wa nje analea kama wake na bado anatukanwa mbele ya madogo mpaka leo
Kuna namna vitu vingine huwezi potezea Mkuu
Hii inaonekana liveWewe umejuaje Kama mama yako ndiyo alikuwa ana provide?
Yawezekana chote ulichotumia kilitoka kwa baba yako mama akawa mtekelezaji !
Wanaume hawapendi show off kwa watoto wao.
Kuna Jamaa yangu Mmoja aliwahi kufata ushauri wako na hiki ndo kilitokea.Pole sana, manyanyaso kwa wanawake yapo, na jamii zingine humtreat mwanamke kama kiumbe kisicho kuwa na haki yoyote duniaIni, cha kukushauri siku moja ongea na ndugu zako (siblings ) mumuweke kitimoto baba yenu mumuelezee yoote yanayowakwaza juu ya matendo anayomfanyia mama na mumkanye kwa kauli za kistaarabu tu ataelewa
Mm naona watoto wa kike wanawahi kukua ndio maana wanakuwa wajanja sana ,ila wakiume huchelewa na kuwa Bora au vibayaWamama wana sumu kali sana kwa watoto..nafikiri ni nature yao ya kitojiamini, though naoma watoto wa kike ni wajanja sana kuliko wa kiume.
Hakuna sababu ya kumpiga, kama mapenzi hayapo tena na hawezi samehe ndo maana nasema tengana naye anza maisha mapyaILA WANAWAKE, kwa hiyo unataka baada ya kumfumania amletee maua na zawadi na azidishe upendo kuliko hapo mwanzo kwa sababu moja tu aonekane baba bora 🤣, kapigwa la kulia amgeuzie kushoto ampige tena😁🙌🏻