Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Zari la mentali halitoke kabisa sikuhizi ' kingwendu kamuoa mwajuma ndala ndefu
Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.

Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations

Na Uchebe alimuoa Shilole.

Kila mtu na Level zake.

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.

Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations

Na Uchebe alimuoa Shilole.

Kila mtu na Level zake.

dodge
Mtoto wa Bwana Utam ataolewa na mtoto wa kimsboy.Waarabu wa bongo😂😂😂
 
Kuvaa nguo za mzungu,mchina,mwarabu,mmasai au mhindi ni sawa ila panga kiunoni ni la nini? Lina kazi gani?
Ni utamaduni tu kama wewe ulivyoacha utamaduni wako wa kuvaa magome ya miti na ngozi ukavaa nguo za mzungu alafu unajiona bonge la tozi na akili nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini abebe Panga kwenye harusi ambayo waziri yupo na kuna ulinzi wa kutosha,ingetegemewa abebe hilo panga na kutembea nalo mitaani ambako anaweza kulitumia lakini sio kwenye harusi ambayo analindwa! FaizaFoxy,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom