publito
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 571
- 662
Haaaaaaa...Nilikuwa kwenye arusi kwetu bukoba dogo nae kavaa swaga hizo kama jamaa zetu wa muscat, kituko mhaya na mu Oman wapi na wapi yaani kituko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaaa...Nilikuwa kwenye arusi kwetu bukoba dogo nae kavaa swaga hizo kama jamaa zetu wa muscat, kituko mhaya na mu Oman wapi na wapi yaani kituko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alivuta au alivutwa?Uchebe aliona isiwe kesi akavuta shishi beibi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huhuhuhu
Hivi nyie waarabu wa Bongo hayo mapanga mnaofunga kiunoni ni ya nini ?
Kweli mkuu anachuki za wazi wazi na waislamLukuvi anavyowachukia waislam sijui amelipokeaje hilo
Sijui kuweka clip hapa ningeweka umsikie na kauli zake za chuki kwa waislamUsipende kuusemea moyo wa mtu mkuu...ni lini amesimama akaelezea hizo hisia za chuki kwa waislam
Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.
Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations
Na Uchebe alimuoa Shilole.
Kila mtu na Level zake.
dodge
Sishangai msimamo wako mkuu maana hata qur an imewasema hawatakuwa radhi mayahudi na manaswala mpaka mfate mila zao sikushanga mkuuHaikuwa personal ile mzee, ni strictly business..Mi mwenyewe sipendi itikadi za Kiislam ila nina marafiki wengi Waislam tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Eaton john kaolewa na mzanzibarSasa huyu demu alikosa mwanaume hadi akaolewa na huyo mwarabu? Hawa jamaa hawachelewi kuzibua tope
Sent using Jamii Forums mobile app
Jasiri haachi asili.
Ndiyo nani huyo "Eaton John", mjomba'ko?
Mtoto wa Bwana Utam ataolewa na mtoto wa kimsboy.Waarabu wa bongo😂😂😂Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.
Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations
Na Uchebe alimuoa Shilole.
Kila mtu na Level zake.
dodge
Upumbavu, Quran ni kitabu cha kipumbavu, masimulizi ya kale ya waarabu, yanawatesa wanapigana vita kila siku, nyie mmekaa mnakariri tu hlSishangai msimamo wako mkuu maana hata qur an imewasema hawatakuwa radhi mayahudi na manaswala mpaka mfate mila zao sikushanga mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni utamaduni tu kama wewe ulivyoacha utamaduni wako wa kuvaa magome ya miti na ngozi ukavaa nguo za mzungu alafu unajiona bonge la tozi na akili nyingi
Nilikuwa kwenye arusi kwetu bukoba dogo nae kavaa swaga hizo kama jamaa zetu wa muscat, kituko mhaya na mu Oman wapi na wapi yaani kituko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo siyo panga, kafanye homework yako vizuri.Kwa nini abebe Panga kwenye harusi ambayo waziri yupo na kuna ulinzi wa kutosha,ingetegemewa abebe hilo panga na kutembea nalo mitaani ambako anaweza kulitumia lakini sio kwenye harusi ambayo analindwa!
Sent using Jamii Forums mobile app