Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Yule Mama Hakimu sio Mchezo na yupo Aggressive sanaBad news.
Hapo juu imetaarifiwa kuwa mtoto wa Makongoro alizikwa ukweni, hii ni taarifa mbaya.
Waambieni hao wajukuu wajitahidi kupunguza mwendo wa magari yao.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, RIP