Mtoto wa Magige Nyerere afariki katika ajali ya gari Shinyanga

Mtoto wa Magige Nyerere afariki katika ajali ya gari Shinyanga

Mako kazidiwa mguvu ma Jaji Aisha......ohh bi Aisha
kumbe, mbona umeandika jaji halafu bi, na kwa nn siyo mrs mako, ila jaji/bi/mrs mako hata kama kamshika mr hakutumia busara, mjukuu angepelekwa kuzikwa mwitongo, hz familia za machifu zina mambo yao, na ukijifanya kuyakiuka kwa kuleta usasa wako, inaweza leta shida kubwa sana.
 
Nini kipo spesho hapo?? Kufa Si ni kufa tu.

Wangapi wanakufa Kwa ajali Tanzania hiii??.

Et kwakua ni watu wanaundugu na Nyerere basi iwe habari ?.

Kama ni tangazo La Kifo sawa !!.
 
kumbe, mbona umeandika jaji halafu bi, na kwa nn siyo mrs mako, ila jaji/bi/mrs mako hata kama kamshika mr hakutumia busara, mjukuu angepelekwa kuzikwa mwitongo, hz familia za machifu zina mambo yao, na ukijifanya kuyakiuka kwa kuleta usasa wako, inaweza leta shida kubwa sana.
Tag Mako hapooo
 
Ni aibu sana Dume zima kushikwa akili na mkewe, kwa kifupi hivi habari zimekasirisha sana Wazee na huyo Mwanamke hana busara hata kissoda. Vetting ya Mzee Mchonga pia kumkubali awe mke wa mwananye zilifeli sana sasa anaifedhehesha familia. Hapo ndio utawaelewa Wazee wetu kwamba kuna Makabila usijaribu kuoa utayakanyaga mfano halisi ndio huu Mako.... kayakanyaga hakuskia la Mkuu.
 
Juzi nilikuwa nawaza hivi vifo vya ukoo wa nyerere..vimefuatana sana. Alianza rosemary, hakukaa sana akaja mwanafamilia mwingine wa nyerere, akafuatana na sofia nyerere,juzi kafa mtoto wa makongoro, leo huyu tena dah!!

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Mzee Nyerere atawapiga mapigo 12, mmmedhalilisha sana WAZANAKI mnaenda kuzika Mjukuu wa Chief UKWENI kwa MAKONGORO kule Arusha?? Haya ni Matusi sana kwa PATRINIAL CLAN...
Poleni kwa msiba mwingine kikubwa tukazike ndugu zetu MWITONGO tuache kuendeshwa na wake zenu badilikeni.
Ile hata mi nilishangaa..ukoo wa kina nyerere haukuwa tofauti na wachaga.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
S
Labda nikuulize maana wewe ni bwege sana! Wakati wa vita na Nduli Idd Amin jeshi la wananchi wa Tanzania tulikuwa hatufuki hata 5000 mimi nikiwa mmojawapo wa wanajeshi. Na kule kwenye vita yaani mstari sa mbele hatujufika hata 3000 tulioenda kupigana hadi kumng’oa na kumkimbiza Nduli toka ardhi ya Tanzania na Uganda! Hao watu elfu 20 walitokea wapi? Nijibu hapa maana wewe inaonekana unakunywa pombe aina ya ‘pingu’ ambayo kabla hujaanza kunywa lazima ufunge pingu suruali juu kidogo ya magoti ili kuzuia mzigo!
SAsa mbona unamshambulia binti wa watu ambaye amehoji tu unamwacha Sandali Ali aliyezusha hao watu 20k?
 
Juzi nilikuwa nawaza hivi vifo vya ukoo wa nyerere..vimefuatana sana. Alianza rosemary, hakukaa sana akaja mwanafamilia mwingine wa nyerere, akafuatana na sofia nyerere,juzi kafa mtoto wa makongoro, leo huyu tena dah!!

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Kufa ni kufa tu.
hawa kwa saabu ni maaruf ishakuwa habari tayari.
kuna wakati mi nilizani wachaga ndo wanaongoza kufa duniani coz kipindi cha matangazo ya vifo pale radio one ilikuwa unaskia majina ya kichaga tu😄
 
Polenj sana msiba mzito mrudi mwitongo mkatambike.....kuna shida sehemu ajali ndani week 1 tuuuu......mrudi mizimu yenu
Wanataka kummaliza Nyerere mwasisi wa Taifa
hawatoweza
Mama Maria pambana,we ndo Mama wa Taifa hili,usiwe mnyonge🙏
We ni kama mama yake Yesu
Mama Maria ni mama wa wote
Ujumbe wetu wakristo wakatoliki mwaka huu🙏
 
Back
Top Bottom