Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kijana wa kiume kuzikwa kwa mama yake ?? Labda mama anajua kijana hakuwa damu ya hukoTag Gentimycine atuambie mila imekiukwa mjukuu wa chief kuzikwa ukweni ?...
Nyumba zina siri mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana wa kiume kuzikwa kwa mama yake ?? Labda mama anajua kijana hakuwa damu ya hukoTag Gentimycine atuambie mila imekiukwa mjukuu wa chief kuzikwa ukweni ?...
afadhali umjibu huyu mjinga hajui huu ukurasa wapo ambao tulikwenda mstari wa mbele yeye alikuwa hajazaliwa.ILA Watu wenye haya majina wanajulikana ni watu ambao hawakusoma upeo wao wa elimu ni mdogo sana ktokana na imani ya dini yao.Labda nikuulize maana wewe ni bwege sana! Wakati wa vita na Nduli Idd Amin jeshi la wananchi wa Tanzania tulikuwa hatufuki hata 5000 mimi nikiwa mmojawapo wa wanajeshi. Na kule kwenye vita yaani mstari sa mbele hatujufika hata 3000 tulioenda kupigana hadi kumng’oa na kumkimbiza Nduli toka ardhi ya Tanzania na Uganda! Hao watu elfu 20 walitokea wapi? Nijibu hapa maana wewe inaonekana unakunywa pombe aina ya ‘pingu’ ambayo kabla hujaanza kunywa lazima ufunge pingu suruali juu kidogo ya magoti ili kuzuia mzigo!
Hatari sana.Labda nikuulize maana wewe ni bwege sana! Wakati wa vita na Nduli Idd Amin jeshi la wananchi wa Tanzania tulikuwa hatufuki hata 5000 mimi nikiwa mmojawapo wa wanajeshi. Na kule kwenye vita yaani mstari sa mbele hatujufika hata 3000 tulioenda kupigana hadi kumng’oa na kumkimbiza Nduli toka ardhi ya Tanzania na Uganda! Hao watu elfu 20 walitokea wapi? Nijibu hapa maana wewe inaonekana unakunywa pombe aina ya ‘pingu’ ambayo kabla hujaanza kunywa lazima ufunge pingu suruali juu kidogo ya magoti ili kuzuia mzigo!
Uzingatiwe una hoja mkuu. Upo sahihi kabsa kama wamezika ukweni tena familia ya Nyerere basi mpaka waya solve kimila hayo mamboMzee Nyerere atawapiga mapigo 12, mmmedhalilisha sana WAZANAKI mnaenda kuzika Mjukuu wa Chief UKWENI kwa MAKONGORO kule Arusha?? Haya ni Matusi sana kwa PATRINIAL CLAN...
Poleni kwa msiba mwingine kikubwa tukazike ndugu zetu MWITONGO tuache kuendeshwa na wake zenu badilikeni.
Obvious Yes,Kwahiyo hii
Naayo ni habari?
Obvious Yes,
There are five elements to a good news story: Timeliness (is it happening now), significance (how many does it affect), proximity (is the story happening nearby), prominence, (is it happening to someone well known in society) and human interest (is there an emotional appeal)
Inamuhuzunisha nani?Ya kuhuzunisha[emoji24]
Ata wewe.I
Inamuhuzunisha nani?
Watu mamia wanafariki halafu lijitu limoja tu eti imekua habari!Nayo ni habari. Nadhani wewe Nesi Mkunga ungependa watu wafariki ili upate ajira.
NeverAta wewe.
Kaka wa Makongoro si ni Madaraka? Huyu maagige ni kizazi ChaJulius au ndugu yake?Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda Bora,alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Ajali imetokea jana,amefariki leo.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.
Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni fatal crash nyingine kabisa.
Ijumaa iliyopita tumemzika Daudi Nyerere,mtoto wa Makongoro Nyerere na sasa,siku saba baadaye,Ijumaa usiku,Chief amefariki katika ajali ya boda boda.
Magige Nyerere ni kaka yake Makongoro Nyerere.
Kwa hiyo sasa ni wajukuu wa Mwalimu Julius Nyerere wawili ambao wamefariki katika car crash.
Again,hii ni ajali tofauti. Siyo ile ya Daudi Makongoro Nyerere.
Makongoro Nyerere na Magige Nyerere wote ni watoto wa Mwalimu Nyerere.
Kwa hiyo,ilikuwa ni ajali ya piki piki,siyo ajali ya gari.
????Never
Hainihusu????
Daah watu mna stress mbayaKwahiyo hii
Naayo ni habari?
Kisa?Daah watu mna stress mbaya