Napendekeza swali hili Likae Juu baada ya uziAdvances huwa wanadahiliwa kupitia NACTE? mbona kwenye Yale majina ya UDOM ameingia Kama EQUIVALENT kwa maana amepitia diploma, ebu muulize Huyo jamaa yako vizuri.
Tatizo kwa nini wasi 'up-date' matokeo? Kama ni kweli alishinda rufaa yake Kwa nini yabaki yabaki hivyohivyo kwenye system? Sote twajua hayo matokeo lengo la kuwekwa hadharani/kwenye tovuti ni kuyafanya yaonekane kwa urahisi kwa wadau wanayotaka kuyaona, suala la kujiuliza kwa nini wasiyabadilishe kama alishinda rufaa yake? Au kuna magumashi katika hiyo rufaa?Yanabandikwa actually is veru rare kushinda /kubadilisha. Nimesema very rare basi atakuwa na bahati lakini kwa ufaulu ule hawezi kushinda rufani hiyo ni kutaka kumbeba tu!
Eleza namna alivyofika mkuu ukizingatia tangu kuhitimu kidato cha nne na stage aliyopo sasaAcheni Upumbavu. hivi mnadhani kuwa Huyo Jesca hana Sifa za kumwezesha kufika hapo? muwe mnafanya research ya kutosha ndio mje kuandika huku...
Just google utaona 2015 , 2012, 2013 , 2014 rufaa zote zipo humu hakuna alipo mwanetuTatizo kwa nini wasi 'up-date' matokeo? Kama ni kweli alishinda rufaa yake Kwa nini yabaki yabaki hivyohivyo kwenye system? Sote twajua hayo matokeo lengo la kuwekwa hadharani/kwenye tovuti ni kuyafanya yaonekane kwa urahisi kwa wadau wanayotaka kuyaona, suala la kujiuliza kwa nini wasiyabadilishe kama alishinda rufaa yake? Au kuna magumashi katika hiyo rufaa?
Hata huyu aliyekuja akikuta kinyesi kikavu? Bado atakutaja wewe uliyepishana naye?Ukimuona kobe juu ya mti kapandishwa tu huyo... ukichafuka ushachafuka... hata ununue Dove bado utanuka tu...
Ni sawa na uende chooni ukakuta mtu kanya pembeni ukasema kuchafu wacha nitoke siwezi vimilia and then unapotoka tu anaingia mtu mwingine.... unadhani atajua nani kanya pembeni?
Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia pole .Acheni Upumbavu. hivi mnadhani kuwa Huyo Jesca hana Sifa za kumwezesha kufika hapo? muwe mnafanya research ya kutosha ndio mje kuandika huku...
We utakuwa Simba damu....Au Arsenalwadau kuna jamaa angu yupo necta amenambia mtoto wa magufuli kumbe baada ya matokeo kutoka alikata rufaa na kupata division III hivo kuendelea na advance
ha ha ha ha ha ili awsaidie kina jeska wenzake siyoNaomba alimaliza udom ateuliwe kuwa mkurugenz wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu
Acha bhana; enh hee!Acheni Upumbavu. hivi mnadhani kuwa Huyo Jesca hana Sifa za kumwezesha kufika hapo? muwe mnafanya research ya kutosha ndio mje kuandika huku...
yani ile kupata admision tu ni feva ya hali ya juu achilia mbali huo mkopoPengine Jesica na mkopo wa chuo kapewa
Huu uzi wanauona kama barua ya kusimamishwa kazi.Naona Dodoki la Kumsifisha Jesica Limeisha Makali Yake!Ahahaha