Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Atakuwa ali re-sit mitihani na akafaulu kwa kupata credit. Maana hapo kuingia A-level anahitaji C mbili zaidi.
 
kama matokeo hayo kayapata 2012 sasa swali je ameriseat mwaka gan na form 5-6 kasoma mwaka gani na sasa yupo udom!!!au certificate kasoma mwaka na diploma kasoma mwaka gani mpaka sasa awe chuo?? ukojiuloza kwamakini uyagundua hakustaili kusoma chuo kikuu
 
Nenda kamfukuze!
 
Ki ukweli sio kosa La Jesca wala si kosa la Baba ni kosa la Mfumo uliokuwepo kipindi cha utawara uliopita maana kama wao wasingefingulia Geti kila mtu akapita naamini Jesca asingekuwa hapo so JPM yeye anataka anyooshe utawara wake nadhani(kama ndivyo sidhani kama ni kosa) ila namuomba Mh. Awe mkweli anapotaja vilaza amtaje na mwanae kama kweli yeye ni jasiri
 
Tatizo nyie watu mnapenda Ushabiki wa kisiasa tu..

Mnajua kabisa Sheria, mtu ukiwa na D nne unaweza kwenda kusoma Certificate Mwaka 1, ukifaulu unaenda Diploma Miaka 2, after hapo unaweza kusoma Degree ya kwanza. Sasa hapo kuna ubaya gani, Rais kasema huwezi kutoka form 4 moja kwa moja hadi Degree ya kwanza kama hao wa Udom, Kuna hatua kama hizo unatakiwa upitie. sasa kuna ubaya gani
 
povu mbona lakutoka...udom hakuna utaratibu huo uliousema wewe
 
Ujasiri huo hana.maana angeanza kumfukuza wa kwake.ndiyo aone kibanzi
 
 
Unakijua unachokiongea lakini au bendera fata upepo? Kwanza kabisa huelewi wale wanafunzi walikuwa wakisomea level gani zaidi ya kukurupuka
Nikujuze basi, wale wanafunzi wa UDOM hawakuwa wakisoma degree kama akili yako inavyojiaminisha bali walikuwa wakisoma diploma kwa miaka mitatu, swali kuna chuo chochote kinatoa diploma pekee kwa miaka mitatu? Kama kipo kitaje hapa...kilichopo ni kwamba miaka mitatu maana yake mwaka mmoja certificate na miaka miwili diploma jambo ambalo ni sahihi kabisa...ukiwa na D4 na F3 maana yake una four ya 31 huruhusiwi kusoma certificate mwaka mmoja kisha diploma miaka miwili ikatimia mitatu??? Kama inawezekana kwanini waitwe vilaza wanafunzi waliotoka kidato cha nne kusoma diploma kwa miaka mitatu??? Fuatilia mambo hakuna mwanafunzi aliyemaliza form four akaingia degree UDOM hizo ni siasa za majitaka mnazozileta humu...wale wanafunzi walikuwa na sifa zote za kusoma diploma ila siasa zimeingia na kuadhiri wanafunzi wasiokuwa na hatia...usipende kushadadia mambo pasipokuwa na ushahidi kuwakandamiza wanafunzi wasiokuwa na hatia...tafuta hotuba ya waziri kwenye dhamana ya elimu Professor Ndalichako kisha utaelewa kwamba huyo baba yenu Baba Jessica anafaa kuitwa wa kukurupuka
 
Naona dalili za hii thread kuappear front kila siku kwa muda mrefu zaidi kuliko thread yeyote ile
 
Mihemko mibaya jadilin hoja sio watu bint kamaliza 2011 sasa 2012 cheti mwaka 1akaunga diploma miaka 2 inakua 2014 mwez wa tano then udahili unaanza mwez wa sits sasa shida nini mbona watoto wa maskini kibao wanasoma kupitia hiyo
 
Mihemko mibaya jadilin hoja sio watu bint kamaliza 2011 sasa 2012 cheti mwaka 1akaunga diploma miaka 2 inakua 2014 mwez wa tano then udahili unaanza mwez wa sits sasa shida nini mbona watoto wa maskini kibao wanasoma kupitia hiyo
Umeelewa formula lakini mkuu au mtaala wa elimu ya Tanzania unakupiga chenga??? Kamaliza form form four 2011 matokeo yakatoka February 2012 certificate huanza kati ya July hadi September 2012 hivyo kwenye June au July 2013 akamaliza certificate hivyo September au October 2013 akaunga diploma one ambapo June au July 2014 akamaliza mwaka wa Kwanza diploma, October 2014 akaingia diploma two ambapo kwenye June au July 2015 akamaliza mwaka wa mwisho diploma hivyo akasubiri majibu na kati ya July au August 2015 akaaply degree majibu yakatoka ambapo November 2015 akaingia degree mwaka wa Kwanza hivyo Sasa hivi alitakiwa awe anamalizia mwaka wa Kwanza degree akijiandaa October 2016 kuingia mwaka wa pili...so cha ajabu kuwa mwaka wa pili Sasa hivi akijiandaa kuingia mwaka wa tatu ndio utata unapotokea...
Hakuna mtaala kama uliousema na usiingiize watoto wa masikini kutetea jambo lisilowezekana kabisa
 
Certificate na Diploma kwa miaka miwili? fikiria kabla ujandika upumbavu wako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…