Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Unaweza kufeli Form 4 na bado ukaweza kuingia chuo kikuu. Rais wetu alizitaja njia za kufika huko wakati anahutubia pale UDSM. Unachotakiwa kukifanya ni kufuatilia kama alipitia hatua hizo hasa ukizingatia ameingia hapo 2yrs baada ya kumaliza o level, muda ambao kwa mwenye uwezo, unaweza kabisa kubadlisha CV yako. Usiandike kishabiki kama huna data.
 
In voodoo world we don't have such a thing as empty set...!I don't know why
Mkuu hivi mnavyo ruka na ungo angani si mnatumia physics yenye hesabu au hiyo ukisha kuwa kubwa la maadui hakuna kufeili kwa lolote....
 
Mkuu hivi mnavyo ruka na ungo angani si mnatumia physics yenye hesabu au hiyo ukisha kuwa kubwa la maadui hakuna kufeili kwa lolote....
Hapana ile mahesabu yake ni tofauti sana na ukishaset mambo the rest ni automation mode labda ukwae kisiki angani
 
Me jamani mpka sasa Bado natamani kwenda kusoma Udom cozy ya certificate ya education technology please msaada kwa yeyote ajuae application yafanyika kwa njia gan please naomba aniambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…