Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Sijakuelewa...Labda unieleweshe...Wako wapi hao watoto?..

Unaposema watoto wa vilaza lazima wawe vilaza unamaanisha Magufuli (Mwenye PHD ya Kemia) ni kilaza?..

Halafu, hv kuna connection yoyote kati ya NACTE na masomo ya shahada??
Ipo kubwa sana! Vyuo vingi vinavibali vya kutoa degree ingawa siyo universities.

Sasa huyo magufuri hajui pass kwa Tanzania ata division bado kapass iweje adai asiyeenda form six kafeli basi nae alifeli maana naye hakuwahi kusoma five na six..!

Kuwa na phd siyo kigezo kama alitoa pesa maana kwa elimu yetu tumeyashuhudia haya..!
 
Hivi NACTE siku hizi wana dahili wanafunzi wa chuo kikuu? Wajinga ndio waliwao!
Kichwa maji kabisa na wenzio NACTE toka lini ana dahiri wanafunzi wa chuo ki kuu?

Hivi nyie mbona wajinga sana?
usiaibishe bhana, hilo jina haulitendei haki... wanafunzi wote wanaopitia ngazi ya diploma, wanadailiwa na NACTE kuingia chuo kikuu.
 
Hapo jina lipo na ni form four lakini kusema alikwenda chuo na kuweka screen short inayo onesha NACTE wakati NACTE hawahusiki na chuo kikuu ni uongo na kawadanganye vilaza wenzio!

Wanao husika kudahili wanafunzi kuanzia level ya degree ni TCU!
Tulia kwasababu ujui unachoongea.
 
Hivi elimu ya mbowe dj maarufu na mwenyekiti wa chama ilishawekwa wazi?? Mbona huyu Jesca ni mtoto sana ukilinganisha na Babu yake mzee mbowe? anzeni na mashina ndipo mje kwenye matawi
Povu lote la nini hili ? Hujui hii mada imeletwa hapa kwa sababu gani ? Au kisa una ubini wake ndio unakurupuka ?
 
Povu linakutoka muhaya wewe....*****.
Bado nasema nyie ni vichwa maji kabisa sijui kusoma hamjui basi hata kuona uongo mnashindwa? Hivi NACTE wana dahili wanafunzi kwenda chuo kikuu?
Mkuu umemaliza!!acha mawe yaingie ndani kwake nae aone uchungu wa kupgwa na mawe!sijawah juta kujiunga JF
 
Hapo chacha...! Atwambie.
 
Vichwa maji hivi NACTE siku hizi wana dahili wanafunzi wa chuo ki kuu? Na TCU wanafanya nini? Kweli nyie ni vilaza mnadanganywa na mjinga mwenzenu halafu nanyie mna vamia tuu!
Wanachanganya madesa...Eti kwa vile mtu aliyesoma diploma anaweza akajiunga na degree basi anadahiliwa na NACTE...Wanasahau kwamba mara baada ya kumaliza diploma(ambayo inakuwa accreditated na NACTE) mwanafunzi lazima adahiliwe na TCU ili aweze kujiunga na masomo ya shahada...NACTE ni ngazi tu
 
Kichwa maji kabisa na wenzio NACTE toka lini ana dahiri wanafunzi wa chuo ki kuu?

Hivi nyie mbona wajinga sana?
Serikali ya kwenu lakini wala hamjui kwamba NACTE wanadahili teh teh teh teh

Hivi ni Nepi ndio amewapa hilo jibu mje kulijibu humu maana kila Lumumba akija hilo ndilo jibu lenu..

Google basi hata kazi za NACTE we jamaa acha kujihaibisha
 
Ni vichwa maji tuu hata kuangalia hiyo screen short vizuri hawajaangalia wamekimbilia kukomenti!

Yani watu wazima wanadanganywa kama watoto...kweli Magufuli kawachoma!
 
 
Mkuu mimi naomba unieleweshe namna NACTE wanavyodahili wanafunzi wa masomo ya shahada...
 
Kwahiyo mnabisha hayupo UDOM au mnabisha kitu gani??

Bisheni hayupo Udom tutawaletea mpaka namba yake hapa.. teh teh
 
Wewe hujui kitu kuhusu udahili.
Vichwa maji hivi NACTE siku hizi wana dahili wanafunzi wa chuo ki kuu? Na TCU wanafanya nini? Kweli nyie ni vilaza mnadanganywa na mjinga mwenzenu halafu nanyie mna vamia tuu!
 
Kwahiyo unabisha kwamba hayupo UDOM au unachobishia ni nini???
NACTE hawadahili wanafunzi kwenda kusoma Degree hiyo ni kazi ya TCU! Twambie huo udahili ni wa mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…