Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

NACTE hawadahili wanafunzi kwenda kusoma Degree hiyo ni kazi ya TCU! Twambie huo udahili ni wa mwaka gani?
TAARIFA KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA

Date Posted: 12th March 2016 16:09:22 Posted By: NACTE

TAARIFA KWA UMMA

TAREHE 11 MACHI 2016

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuutangazia umma kuwa waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaoomba kujiunga na Shahada ya Kwanza zinazotolewa na Vyuo Vikuu (Universities) au Vyuo Vikuu Vishiriki (Constituent Colleges of Universities) hawataweza kufanya hivyo sasa. Hii ni kwasababu Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) bado haijafungua rasmi Mfumo wa Udahili wa pamoja (CAS) unaoratibiwa kwa pamoja kati ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Tume ya vyuo vikuu inatarajia kufungua mfumo huo wa kudahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuanzia mwezi Mei 2016.

Hivyo basi, ikifika muda huo ndipo waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Vyuo Vikuu au Vyuo Vikuu Vishiriki kwa ajili ya kusoma Shahada ya Kwanza, wataweza kuanza kuomba kudahiliwa kwa kupitia kwenye Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS).

Hata hivyo, tunapenda kutoa taarifa pia kuwa kwa wakati huu, waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Shahada za Kwanza zinazotolewa na vyuo vya Elimu ya Ufundi au Taasisi zilizosajiliwa na Baraza (NACTE) waendelee kuomba kudahiliwa na Taasisi hizo kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) unaoratibiwa na Baraza ambao umezinduliwa tarehe 4 Machi, 2016.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA UDAHILI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
 
Hebu wewe unayejua mueleweshe utaratibu unaotumiwa na NACTE kudahili wanafunzi wa masomo ya shahada
Ni vichwa maji tuu hata kuangalia hiyo screen short vizuri hawajaangalia wamekimbilia kukomenti!

Yani watu wazima wanadanganywa kama watoto...kweli Magufuli kawachoma!

nyie ndio hamjui chochote, mmekalilishwa tu...

41.93.31.136:8080/Selections/UnderGraduate.jsp?InstCode=DM

ingieni hapo alafu ingiza jina la mtoto wa huyo mtukufu, alafu ndio muendelee kubisha msichokijua
 
Kichwa maji NACTE hawahusiki kudahili wanafunzi wanao kwenda ngazi ya degree...! Imekula kwenu hebu wambie watu huo udahili ni wa mwaka gani? Kichwa maji.
Jibu unalotakiwa kulitoa sio hilo..

Tunaomba utujuze basi huyo Mtoto ni uongo hayupo Udom?? Tupe jibu hapa msipotezee mada kwa njia aliyoitumia kufika huko Udom.. Sisi tunauliza tu, amefikaje huko Udom??
 
Mkuu...Mimi naomba unieleweshe namna NACTE wanavyodahili wanafunzi wa degree...Nijuze tafadhali.
 
We nawe kumbe kilaza, unaweza usisome A level lakini ukasoma certificate, dip, BSc, etc.. pole
 
Nasikia ule ualimu wa alcohol pia ulikuwa wa mfumo wa wale vijana waluotimuliwa udom sasa yy kasahau du magu
 
Tangazo lipi??
TAARIFA KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA

Date Posted: 12th March 2016 16:09:22 Posted By: NACTE

TAARIFA KWA UMMA

TAREHE 11 MACHI 2016

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuutangazia umma kuwa waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaoomba kujiunga na Shahada ya Kwanza zinazotolewa na Vyuo Vikuu (Universities) au Vyuo Vikuu Vishiriki (Constituent Colleges of Universities) hawataweza kufanya hivyo sasa. Hii ni kwasababu Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) bado haijafungua rasmi Mfumo wa Udahili wa pamoja (CAS) unaoratibiwa kwa pamoja kati ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Tume ya vyuo vikuu inatarajia kufungua mfumo huo wa kudahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuanzia mwezi Mei 2016.

Hivyo basi, ikifika muda huo ndipo waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Vyuo Vikuu au Vyuo Vikuu Vishiriki kwa ajili ya kusoma Shahada ya Kwanza, wataweza kuanza kuomba kudahiliwa kwa kupitia kwenye Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS).

Hata hivyo, tunapenda kutoa taarifa pia kuwa kwa wakati huu, waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Shahada za Kwanza zinazotolewa na vyuo vya Elimu ya Ufundi au Taasisi zilizosajiliwa na Baraza (NACTE) waendelee kuomba kudahiliwa na Taasisi hizo kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) unaoratibiwa na Baraza ambao umezinduliwa tarehe 4 Machi, 2016.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA UDAHILI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
 
Mkuu mimi naomba unieleweshe namna NACTE wanavyodahili wanafunzi wa masomo ya shahada...
Vyuo vile vinakuwa vipo chini ya nacte ingawa udahili unapitia tcu wanachofanya tcu wanakagua miundo mbinu pamoja na kuaprove hizo degree za vyuo vya nacte..!
 
Kichwa maji NACTE hawahusiki kudahili wanafunzi wanao kwenda ngazi ya degree...! Imekula kwenu hebu wambie watu huo udahili ni wa mwaka gani? Kichwa maji.
Endelea kukaririshwa uongo na Nepi Nuyee teh teh teh... Mtu kirefu cha TFF hajue ndio atajua ya NACTE na TCU..
 
Jibu unalotakiwa kulitoa sio hilo..

Tunaomba utujuze basi huyo Mtoto ni uongo hayupo Udom?? Tupe jibu hapa msipotezee mada kwa njia aliyoitumia kufika huko Udom.. Sisi tunauliza tu, amefikaje huko Udom??
Hata kama yupo UDOM hawezi hakawa alipotia NACTE na wala matokeo ya kidato cha nne hayakutumika!
 
Mkuu...Mimi naomba unieleweshe namna NACTE wanavyodahili wanafunzi wa degree...Nijuze tafadhali.

TAARIFA KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA
Date Posted: 12th March 2016 16:09:22 Posted By: NACTE
TAARIFA KWA UMMA
TAREHE 11 MACHI 2016
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuutangazia umma kuwa waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaoomba kujiunga na Shahada ya Kwanza zinazotolewa na Vyuo Vikuu (Universities) au Vyuo Vikuu Vishiriki (Constituent Colleges of Universities) hawataweza kufanya hivyo sasa. Hii ni kwasababu Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) bado haijafungua rasmi Mfumo wa Udahili wa pamoja (CAS) unaoratibiwa kwa pamoja kati ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Tume ya vyuo vikuu inatarajia kufungua mfumo huo wa kudahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuanzia mwezi Mei 2016.
Hivyo basi, ikifika muda huo ndipo waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Vyuo Vikuu au Vyuo Vikuu Vishiriki kwa ajili ya kusoma Shahada ya Kwanza, wataweza kuanza kuomba kudahiliwa kwa kupitia kwenye Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS).
Hata hivyo, tunapenda kutoa taarifa pia kuwa kwa wakati huu, waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Shahada za Kwanza zinazotolewa na vyuo vya Elimu ya Ufundi au Taasisi zilizosajiliwa na Baraza (NACTE) waendelee kuomba kudahiliwa na Taasisi hizo kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) unaoratibiwa na Baraza ambao umezinduliwa tarehe 4 Machi, 2016.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA UDAHILI
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
 
Haya ndio mawazo ya wana JF wa siku hizi,ama kweli kazi tunayo wadanganyika
 
Swali alifikaje chuo kikuu hicho hicho ambacho baba yake anawaponda wengine kuwa ni ni vilaza? au vilaza na watoto wa maskini tu?
Mbona unauliza swali kabla hujajibiwa unajaji, au ndio unathibitisha ulivyo kilaza dogo!!
 
Teh Teh huo udahili wa NACTE kwa wanafunzi wa shahada ni wa mwaka gani?
Mkuu inaonekana unabishana tuu Na watu wenye ushahidi wao.mara nyingi matokeo ya udahili hupatikana, NACTE Na TCU. Kwa hiyo mtoa mada ametumia chanzo cha NACTE. Na umeulizwa unabisha kuwa hayuko Udom upewe ushahidi?
Mie mwenyewe nataka ushahidi zaidi.
 
Mburulaz wakimaliza kusoma hapa waangalie na hii...

Na wakiendelea kubisha wafungue hapa wakaone list ya vyuo vyote walivyodahili NACTE..

http://41.93.31.136:8080/Selections/UnderGraduate.jsp?InstCode=DM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…