Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Vilaza katika ubora wetu
Unaelewa maana ya udahili wa pamoja?..Wahitimu wa NECTA (kidato cha sita) na NACTE(Stashahada) wote hudahiliwa na TCU wanapotaka kujiunga na masomo ya shahada (degree)Kuna sehemu wameandika Udahili wa pamoja nadhani umeparuka.
Mdau NACTE inadahili kwenda UNIVERSITY usibisheHapo jina lipo na ni form four lakini kusema alikwenda chuo na kuweka screen short inayo onesha NACTE wakati NACTE hawahusiki na chuo kikuu ni uongo na kawadanganye vilaza wenzio!
Wanao husika kudahili wanafunzi kuanzia level ya degree ni TCU!
Lumumba Lumumba mnapata kihoro teteeni na hili la kilaza JHivi elimu ya mbowe dj maarufu na mwenyekiti wa chama ilishawekwa wazi?? Mbona huyu Jesca ni mtoto sana ukilinganisha na Babu yake mzee mbowe? anzeni na mashina ndipo mje kwenye matawi
Diploma ni miaka miwili Chifu....Hujui unachokisema wewe certificate mpaka diploma ni miaka mitatu na kwakua alimaliza shule mwaka 2011 alitakiwa aanze degree mwaka 2015 lakini yeye kaanza 2014 sawa kabisa na waliosoma nae o_level waliofauru nakwenda form five n six next time fikiria kabla ya kusapoti usichokijua au na wewe umesoma elimu ya hapa na pale
Magu yeye hutenda haki so haangalii mtuUkitaka ugomvi wa mawe make shua huishi kwenye nyumba ya vioo....
na cheti ni mwaka mmoja jumla inakua miaka mitatu.Diploma ni miaka miwili Chifu....
Ok well... Sio NECTA ni NACTE.. NECTA na NACTE ni vitu viwili tofauti kabisa... Suala la pili, ni kweli kadahiliwa na NACTE maana Diploma wote wao wanapitishia maombi yao NACTE na sio TCU... Kinachounganisha TCU na NACTE ni mfumo unaoitwa CAS ambao ndio wote hutumia.. Yaani kama kwenda Arusha mmoja anapanda ndege anashuka KIA na mwingine anapanda basi ila wote mnatumia vyombo vya usafiri..Yet unawaita wenzio mburula....Doh!...
Sasa umeweka nini hiki...
Hayo ni majina ya watu waliodahiliwa na TCU kupitia NECTA...Hoja hapa sio huyo binti hayupo UDOM....Hoja anayobisha Ruta ni kusema kwamba huyo binti amedahiliwa na NACTE kwenda UDOM...
Halafu, huyo binti amemaliza kidato cha nne mwaka 2011..What if ali reseat mwaka 2012 akapata credit.. Then akasoma certificate mwaka mmoja na Diploma akapata sifa ya kudahiliwa na TCU...
Bahati mbaya watu wanataka kulinganisha suala la huyu binti na wale wanafunzi wa program maalum ya ualimu walioondolewa UDOM..Wale walienda UDOM mara baada ya matokeo kutoka...
Yet unawaita wenzio mburula....Doh!...

Umelisoma hilo tangazo na kulielewa?...Kuna sehemu aneandika 'Hii ni kwa sababu TCU bado haijafungua mfumo wa udahili wa pamoja (CAS)'..Ukiisoma vizuri utagundua kwamba NACTE ni ngazi...NACTE ni kama NECTA tu kwa wanafunzi wa kidato cha sita...
Mtu anaweza kumaliza form 4 akasoma certificate then Diploma akapewa cheti kinachotambuliwa na NACTE...Cheti hiki cha DIploma ndicho kitamsaidia kupata udahili wa TCU kwa ajili ya Degree...Hivyo NACTE hawadahili wanafunzi wa degree...NACTE ni ngazi tu
Kichwa maji kabisa na wenzio NACTE toka lini ana dahiri wanafunzi wa chuo ki kuu?
Hivi nyie mbona wajinga sana?
Kwani mtu aliyefaulu form six kwenda chuo means kapata maswali yote,,,Sitaki kucomment kuhusu matokeo kwani sina uhakika na chanzo cha info.
Ninachotaka kusema ni kuwa Ilichofanya serikali ni kwa ajili ya manufaa ya taifa. Sidhani kama serikali au magufuli wanawachukia wanafunzi wa UDOM waliofukuzwa. Hawa watu baada ya kuhitimu diploma wangeenda kufundisha wanafunzi wa olevel. Natoa mfano, kwa wale waliosoma physics olevel, imagine huyu MTU alipata D ya physics. Imagine pia alikosa swali la "Archimedes principle"ambayo ni topic ya form 1 aliyoisoma kwa miaka 4 na akashindwa kujibu swali lake la necta. Then unampeleka chuo anasoma say miaka 2 anajifunza tena Archimedes principle ili akaifundishe form one. Je Hutu MTU ataielewa hii principle kwa miaka 2 kama alishindwa kwa miaka 4? NB: kuna topic ngumu olevel zaidi ya huu mfano nilioutoa, Je Huyu mtu atazielewa zote ili akafundishe watu wengine waelewe.?
Watanzania wenzangu tunahitaji mabadiliko ya nchi yetu, na Rais ndo anatuongoza kuyaleta. Kumkosoa Rais ni muhimu lakini siyo kila jambo hata ambalo ni Jema kwa maslahi ya taifa
Mimi nabisha...Wahitimu wenye vyeti vya NACTE na NECTA wanadahiliwa na TCU kwa ajili ya masomo ya shahada..Mdau NACTE inadahili kwenda UNIVERSITY usibishe
mtoto Kilaza .periodOk well... Sio NECTA ni NACTE.. NECTA na NACTE ni vitu viwili tofauti kabisa... Suala la pili, ni kweli kadahiliwa na NACTE maana Diploma wote wao wanapitishia maombi yao NACTE na sio TCU... Kinachounganisha TCU na NACTE ni mfumo unaoitwa CAS ambao ndio wote hutumia.. Yaani kama kwenda Arusha mmoja anapanda ndege anashuka KIA na mwingine anapanda basi ila wote mnatumia vyombo vya usafiri..
Pili, huyo binti alifeli.. hakuresit ila alienda kusoma Utumishi wa Umma... Huko alisomea ukarani.. Mimi nilichoshangaa pekee ni kutoka kwenye Ukarani mpaka kwenda kusoma Human Resource wakati hesabu alipata F na Commerce alipata F kwenye mitihani yake ya Form Four.. Kama huyo mtoto angekuwa amesoma Diploma ya HR wala nisingeshangaa..
Diploma ni miaka miwili Chifu....
Hivi elimu ya mbowe dj maarufu na mwenyekiti wa chama ilishawekwa wazi?? Mbona huyu Jesca ni mtoto sana ukilinganisha na Babu yake mzee mbowe? anzeni na mashina ndipo mje kwenye matawi