Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Kuna sehemu wameandika Udahili wa pamoja nadhani umeparuka.
Unaelewa maana ya udahili wa pamoja?..Wahitimu wa NECTA (kidato cha sita) na NACTE(Stashahada) wote hudahiliwa na TCU wanapotaka kujiunga na masomo ya shahada (degree)
 
Hapo jina lipo na ni form four lakini kusema alikwenda chuo na kuweka screen short inayo onesha NACTE wakati NACTE hawahusiki na chuo kikuu ni uongo na kawadanganye vilaza wenzio!

Wanao husika kudahili wanafunzi kuanzia level ya degree ni TCU!
Mdau NACTE inadahili kwenda UNIVERSITY usibishe
 
Diploma ni miaka miwili Chifu....
 
Ok well... Sio NECTA ni NACTE.. NECTA na NACTE ni vitu viwili tofauti kabisa... Suala la pili, ni kweli kadahiliwa na NACTE maana Diploma wote wao wanapitishia maombi yao NACTE na sio TCU... Kinachounganisha TCU na NACTE ni mfumo unaoitwa CAS ambao ndio wote hutumia.. Yaani kama kwenda Arusha mmoja anapanda ndege anashuka KIA na mwingine anapanda basi ila wote mnatumia vyombo vya usafiri..

Pili, huyo binti alifeli.. hakuresit ila alienda kusoma Utumishi wa Umma... Huko alisomea ukarani.. Mimi nilichoshangaa pekee ni kutoka kwenye Ukarani mpaka kwenda kusoma Human Resource wakati hesabu alipata F na Commerce alipata F kwenye mitihani yake ya Form Four.. Kama huyo mtoto angekuwa amesoma Diploma ya HR wala nisingeshangaa..
 
baba yake mkali wa hesabu halafu yeye ana mswaki wa hesabu nani kilaza hapo ,ujanja mwingi kweli mbele giza
 

mkuu mimi sibishanii uhalali wa huyo binti kuwa udom, yuko hapo kihalali, nyinyi kusema hiyo screen shot imetengenezwa ndio nabisha...
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-02-23-46-49.png
    18 KB · Views: 37
Kwani mtu aliyefaulu form six kwenda chuo means kapata maswali yote,,,
Afu point to note n kwamba wale mwisho n division three ambayo wengi wa wanachuo ndio wanazo so unataka kuniambia watashindwa kufundisha au Niaje
 
Mdau NACTE inadahili kwenda UNIVERSITY usibishe
Mimi nabisha...Wahitimu wenye vyeti vya NACTE na NECTA wanadahiliwa na TCU kwa ajili ya masomo ya shahada..

Ila kuna universities zinatoa Diploma na Certificates...Wanafunzi wa universities wanaosoma Diploma na Certificate(Stashahada na Astashahada) wanadahiliwa na NACTE....Na wanafunzi wa same universitiea wanaosoma Degree(shahada) wanadahiliwa na TCU...

NACTE ni ngazi kama ilivyo NECTA
 
mtoto Kilaza .period
 
Hivi elimu ya mbowe dj maarufu na mwenyekiti wa chama ilishawekwa wazi?? Mbona huyu Jesca ni mtoto sana ukilinganisha na Babu yake mzee mbowe? anzeni na mashina ndipo mje kwenye matawi

Ushaambiwa Mkulu nae ana Vilaza wawili ndani kwake,hapa kamzidi Mzee wa Msoga kilaza mmoja tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…