Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Hakuna sehemj nimesema screenshot imetengenezwa...Unless unanichanganya na Ruta...mkuu mimi sibishanii uhalali wa huyo binti kuwa udom, yuko hapo kihalali, nyinyi kusema hiyo screen shot imetengenezwa ndio nabisha...
Wanafunzi wenye diploma (NTA) level 6 hudahiliwa na NACTE, jaribu kupitia website yao.Hata kama yupo UDOM hawezi hakawa alipotia NACTE na wala matokeo ya kidato cha nne hayakutumika!
ahaha mkuu huelewi wala ujui unachokiandika.Ingia website ya NACTE utajifunza.Mimi nabisha...Wahitimu wenye vyeti vya NACTE na NECTA wanadahiliwa na TCU kwa ajili ya masomo ya shahada..
Ila kuna universities zinatoa Diploma na Certificates...Wanafunzi wa universities wanaosoma Diploma na Certificate(Stashahada na Astashahada) wanadahiliwa na NACTE....Na wanafunzi wa same universitiea wanaosoma Degree(shahada) wanadahiliwa na TCU...
NACTE ni ngazi kama ilivyo NECTA
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Kumbe na wewe hukwenda shule nyambafuuu ujuaji mwingi tu hapa kumbe ata nacte hawakujui komaa akili ndogo wewe huwez tawala akili kubwaBado nasema nyie ni vichwa maji kabisa sijui kusoma hamjui basi hata kuona uongo mnashindwa? Hivi NACTE wana dahili wanafunzi kwenda chuo kikuu?
[quote uid=71917 name="Ruttashobolwa" post=16381594]NACTE hawadahili wanafunzi kwenda kusoma Degree hiyo ni kazi ya TCU! Twambie huo udahili ni wa mwaka gani?[/QUOTE]
TAARIFA KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA

Date Posted: 12th March 2016 16:09:22 Posted By: NACTE

TAARIFA KWA UMMA

TAREHE 11 MACHI 2016

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuutangazia umma kuwa waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaoomba kujiunga na Shahada ya Kwanza zinazotolewa na Vyuo Vikuu (Universities) au Vyuo Vikuu Vishiriki (Constituent Colleges of Universities) hawataweza kufanya hivyo sasa. Hii ni kwasababu Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) bado haijafungua rasmi Mfumo wa Udahili wa pamoja (CAS) unaoratibiwa kwa pamoja kati ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Tume ya vyuo vikuu inatarajia kufungua mfumo huo wa kudahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuanzia mwezi Mei 2016.

Hivyo basi, ikifika muda huo ndipo waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Vyuo Vikuu au Vyuo Vikuu Vishiriki kwa ajili ya kusoma Shahada ya Kwanza, wataweza kuanza kuomba kudahiliwa kwa kupitia kwenye Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS).

Hata hivyo, tunapenda kutoa taarifa pia kuwa kwa wakati huu, waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Shahada za Kwanza zinazotolewa na vyuo vya Elimu ya Ufundi au Taasisi zilizosajiliwa na Baraza (NACTE) waendelee kuomba kudahiliwa na Taasisi hizo kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) unaoratibiwa na Baraza ambao umezinduliwa tarehe 4 Machi, 2016.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA UDAHILI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)Mimi nabisha...Wahitimu wenye vyeti vya NACTE na NECTA wanadahiliwa na TCU kwa ajili ya masomo ya shahada..
Ila kuna universities zinatoa Diploma na Certificates...Wanafunzi wa universities wanaosoma Diploma na Certificate(Stashahada na Astashahada) wanadahiliwa na NACTE....Na wanafunzi wa same universitiea wanaosoma Degree(shahada) wanadahiliwa na TCU...
NACTE ni ngazi kama ilivyo NECTA
Typo...I meant NACTE thoughOk well... Sio NECTA ni NACTE.. NECTA na NACTE ni vitu viwili tofauti kabisa... Suala la pili, ni kweli kadahiliwa na NACTE maana Diploma wote wao wanapitishia maombi yao NACTE na sio TCU... Kinachounganisha TCU na NACTE ni mfumo unaoitwa CAS ambao ndio wote hutumia.. Yaani kama kwenda Arusha mmoja anapanda ndege anashuka KIA na mwingine anapanda basi ila wote mnatumia vyombo vya usafiri..
Pili, huyo binti alifeli.. hakuresit ila alienda kusoma Utumishi wa Umma... Huko alisomea ukarani.. Mimi nilichoshangaa pekee ni kutoka kwenye Ukarani mpaka kwenda kusoma Human Resource wakati hesabu alipata F na Commerce alipata F kwenye mitihani yake ya Form Four.. Kama huyo mtoto angekuwa amesoma Diploma ya HR wala nisingeshangaa..
[quote uid=71917 name="Ruttashobolwa" post=16381594]NACTE hawadahili wanafunzi kwenda kusoma Degree hiyo ni kazi ya TCU! Twambie huo udahili ni wa mwaka gani?[/QUOTE]
TAARIFA KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA

Date Posted: 12th March 2016 16:09:22 Posted By: NACTE

TAARIFA KWA UMMA

TAREHE 11 MACHI 2016

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuutangazia umma kuwa waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaoomba kujiunga na Shahada ya Kwanza zinazotolewa na Vyuo Vikuu (Universities) au Vyuo Vikuu Vishiriki (Constituent Colleges of Universities) hawataweza kufanya hivyo sasa. Hii ni kwasababu Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) bado haijafungua rasmi Mfumo wa Udahili wa pamoja (CAS) unaoratibiwa kwa pamoja kati ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Tume ya vyuo vikuu inatarajia kufungua mfumo huo wa kudahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuanzia mwezi Mei 2016.

Hivyo basi, ikifika muda huo ndipo waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Vyuo Vikuu au Vyuo Vikuu Vishiriki kwa ajili ya kusoma Shahada ya Kwanza, wataweza kuanza kuomba kudahiliwa kwa kupitia kwenye Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS).

Hata hivyo, tunapenda kutoa taarifa pia kuwa kwa wakati huu, waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Shahada za Kwanza zinazotolewa na vyuo vya Elimu ya Ufundi au Taasisi zilizosajiliwa na Baraza (NACTE) waendelee kuomba kudahiliwa na Taasisi hizo kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) unaoratibiwa na Baraza ambao umezinduliwa tarehe 4 Machi, 2016.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA UDAHILI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)ahaha mkuu huelewi wala ujui unachokiandika.Ingia website ya NACTE utajifunza.
We jamaa ni zero brain ata shule hujaenda inaonekana hujui kua nacte inadahiri wanafunzi wa chuo kikuu au ndo ulisoma elimu ya mkoloniKichwa maji NACTE hawahusiki kudahili wanafunzi wanao kwenda ngazi ya degree...! Imekula kwenu hebu wambie watu huo udahili ni wa mwaka gani? Kichwa maji.
Huo ukarani alisomea ngazi gani?..Ok well... Sio NECTA ni NACTE.. NECTA na NACTE ni vitu viwili tofauti kabisa... Suala la pili, ni kweli kadahiliwa na NACTE maana Diploma wote wao wanapitishia maombi yao NACTE na sio TCU... Kinachounganisha TCU na NACTE ni mfumo unaoitwa CAS ambao ndio wote hutumia.. Yaani kama kwenda Arusha mmoja anapanda ndege anashuka KIA na mwingine anapanda basi ila wote mnatumia vyombo vya usafiri..
Pili, huyo binti alifeli.. hakuresit ila alienda kusoma Utumishi wa Umma... Huko alisomea ukarani.. Mimi nilichoshangaa pekee ni kutoka kwenye Ukarani mpaka kwenda kusoma Human Resource wakati hesabu alipata F na Commerce alipata F kwenye mitihani yake ya Form Four.. Kama huyo mtoto angekuwa amesoma Diploma ya HR wala nisingeshangaa..
sawa,kwahiyo wala vilaza 7000 wao walingiaje hapo Udom.,maana mnatuchanganya
Sawa mdau,wewe bisha ni jukumu lako.Mimi nabisha...Wahitimu wenye vyeti vya NACTE na NECTA wanadahiliwa na TCU kwa ajili ya masomo ya shahada..
Ila kuna universities zinatoa Diploma na Certificates...Wanafunzi wa universities wanaosoma Diploma na Certificate(Stashahada na Astashahada) wanadahiliwa na NACTE....Na wanafunzi wa same universitiea wanaosoma Degree(shahada) wanadahiliwa na TCU...
NACTE ni ngazi kama ilivyo NECTA
Inawezekana kweli alipita njia halali nimejaribu kuangalia majina ya wanafunzi wa hiyo school of humanity mwaka 2014 hilo jina halipo kwa hiyo ni kweli amechelewa mwaka mmoja kwa hiyo naombeni hizo shaka mzitoeHivi wewe unajua kusoma kweli? Hivi unafikiri hili ni jukwa la vilaza?
2012/13 - Certificate...mdogo wangu alisoma certificate kisha diploma na baada ya hapo akaomba digrii kupitia nacte....anamiliza now mwaka wa tatu so wanadahili...,,huyu mtoto wa magu amefata mtiririko huo?
Wanadahiri diploma kwenda chuo kama una diploma unaomba NACTE Mhaya mshamba wewe.Kichwa maji kabisa na wenzio NACTE toka lini ana dahiri wanafunzi wa chuo ki kuu?
Hivi nyie mbona wajinga sana?
Teh...Eti jukumu langu...Sawa mdau,wewe bisha ni jukumu lako.
Ila mimi my two staffmates wamedahiliwa Universities kwa kupitia NACTE,background zao ni diploma
Duh kweli Magu amekugusa kunako pole Sana. Ila jipe moyo ystapita. Sasa Baba ako leo anaheshima gani Kwa jamii yani kaiachia nini jamii?Matokeo ni kwamba alifeli vibaya sana... Baba yangu alisoma hapo Mkwawa two years before Maku was enrolled na wote waliopelekwa pale kusomea Diploma ya ualimu walikuwa ni failures.. Meaning Div 3 na 4.. Na ndipo wakati huo Mkwawa High School ikabadilishwa kabisa kutoka shule mpaka Chuo cha Walimu wa Sayansi.. Division 1 na 2 walikuwa wanakwenda High School, 3 na 4 ndizo hao unaosema wana akili sana...
Niambie PhD holder yeyote duniani aliyesoma lugha flani kama base learning language tangia elementary/secondary school mpaka apate PhD yake alafu ashindwe kuizungumza hiyo lugha sio kwa ufasaha tu, bali hata sentensi tatu mpaka nne za kueleweka...