Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Yupo mwaka wa pili sasa... Lecturers wake wengi nafahamiana nao na ni rafiki zangu...Inawezekana kweli alipita njia halali nimejaribu kuangalia majina ya wanafunzi wa hiyo school of humanity mwaka 2014 hilo jina halipo kwa hiyo ni kweli amechelewa mwaka mmoja kwa hiyo naombeni hizo shaka mzitoe
Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15
Haya twambieni kama ni kweli kuwa hayo matokeo ya form four ndio yalitumika kama mtoa mada anavyo jaribu kuonesha!Kuna huyu jamaa anaitwa rutashobolwa nataka nijue aliishia darasa gani maake najua ata certificate ya mapishi hana
2012/13 - Certificate...
2013/14-2014/15 - Diploma..
2015/16 - University of Dodoma..
Huu mwaka mtoto wake angetakiwa ndio awe mwaka wa kwanza... Ajabu ni kwamba yuko wa pili..
Wanadahiri diploma kwenda chuo kama una diploma unaomba NACTE Mhaya mshamba wewe.
Mkuu unajivua nguo hadharani, tulia tu..Wanaomaliza diploma wote wanadahiliwa na NACTE na TCU ni kwa freshers tu. Kumbe humu wengine hata form four hamjafika halafu mnatamba!!!!Ni vichwa maji tuu hata kuangalia hiyo screen short vizuri hawajaangalia wamekimbilia kukomenti!
Yani watu wazima wanadanganywa kama watoto...kweli Magufuli kawachoma!
Miaka miwili ukiwa unacredit tatu yaani zikiwa zinakuruhusu kwenda advance ndo unaenda kusoma diploma lakini kwan matokeo ya jeska hana credit tatu so anatakiwa aanzie certificate na sio diploma hope utakua umeelewaDiploma ni miaka miwili Chifu....
teh teh teh teh naona unahamisha magoli tu...Haya twambieni kama ni kweli kuwa hayo matokeo ya form four ndio yalitumika kama mtoa mada anavyo jaribu kuonesha!
Anasukuma mkokoteni hana lolote aliloiachia jamii..Duh kweli Magu amekugusa kunako pole Sana. Ila jipe moyo ystapita. Sasa Baba ako leo anaheshima gani Kwa jamii yani kaiachia nini jamii?
bora wauondoeHuu uzi aufiki asubuhi .Hakika Watauondoa.
Wao hawadahili mkuu...Bali wanakuunganisha na CAS ambayo inaendeshwa na TCU...Wanadahiri diploma kwenda chuo kama una diploma unaomba NACTE Mhaya mshamba wewe.
Kwani Magufuli kasema mtoto ni genius? Acheni unafiki. Ebu wekeni na yenu tuoneYupo mwaka wa pili sasa... Lecturers wake wengi nafahamiana nao na ni rafiki zangu...
Au mnataka tuweke mpaka namba yake ya chuo??? Mnataka tuanze na kuweka course work zake humu muone ukilaza bado haujaisha..
Basi acha kumponda Magufuli kwanza amekuzidi Kwa kila kituAnasukuma mkokoteni hana lolote aliloiachia jamii..
Kwani ni ya uongo? Si ipo kwenye public domain?Dadadeki!!!,
mfukunyuku uliyeleta habari hii, TCRA wanaku-follow.
Ok well... Sio NECTA ni NACTE.. NECTA na NACTE ni vitu viwili tofauti kabisa... Suala la pili, ni kweli kadahiliwa na NACTE maana Diploma wote wao wanapitishia maombi yao NACTE na sio TCU... Kinachounganisha TCU na NACTE ni mfumo unaoitwa CAS ambao ndio wote hutumia.. Yaani kama kwenda Arusha mmoja anapanda ndege anashuka KIA na mwingine anapanda basi ila wote mnatumia vyombo vya usafiri..
Pili, huyo binti alifeli.. hakuresit ila alienda kusoma Utumishi wa Umma... Huko alisomea ukarani.. Mimi nilichoshangaa pekee ni kutoka kwenye Ukarani mpaka kwenda kusoma Human Resource wakati hesabu alipata F na Commerce alipata F kwenye mitihani yake ya Form Four.. Kama huyo mtoto angekuwa amesoma Diploma ya HR wala nisingeshangaa..
Sawa mkuu vyovyote iwavyo ni sawa... Iwekeni nyie mnavyotaka ni sawaa..Wao hawadahili mkuu...Bali wanakuunganisha na CAS ambayo inaendeshwa na TCU...
Ukigonga hapa chini penye NOAS|NACTE Online Admission System
Itakupeleka hapa...TCU
Sasa unafkili yatakua yametumika yapi yaan ata kuchaguliwa chuo kikuu aliombea NACTE dats why kwenye matokeo yake kuchaguliwa kwake UDOM jina lake lipo kwenye copyright ya nacte mwaka 2014 [emoji767]NACTE 2014 sasa ndugu yangu kwa kumaliza form four 2011 bila credit alitakiwa akasome diploma kwan miaka mitatu yaani including na certificate probably angeanza mwaka wa kwanza 2015 lakini matokeo yanaonyesha kaanza mwaka 2014 something must be wrong ni hayo tuu mkuuHaya twambieni kama ni kweli kuwa hayo matokeo ya form four ndio yalitumika kama mtoa mada anavyo jaribu kuonesha!
Hajasema ni genius, amesema ni 'kilaza' kwa tafsiri yake mwenyewe. Swali ni je, amefikaje chuo kikuu huku Kakiwa 'kilaza'?Kwani Magufuli kasema mtoto ni genius? Acheni unafiki. Ebu wekeni na yenu tuone
Ndo maana anatumbua hajari mtu Muda ukifika lazima iwe tuHajasema ni genius, amesema ni 'kilaza' kwa tafsiri yake mwenyewe. Swali ni je, amefikaje chuo kikuu huku Kakiwa 'kilaza'?
teh teh teh teh Maswali yako magumu sana.. Haya ni mkulu mwenyewe ndio ataweza kuyajibu kwa ufasaha..Bora mseme na nyinyi sasa. Like father like daughter. Huyu kilaza kama baba yake
kusomea ukarani hizo kozi za ukarani ili upate bahati ya mtende kupata credit za kuweza kukubaliwa UDSM imeanzishwa lini? Masomo haya ya ukarani ni ya muda gani? Muhula unaanza lini mpaka lini? Mpaka sasa hivi ni Wanafunzi wangapi waliopitia hii course ya ukarani na kufanikiwa kupata credits za kuwawezesha kuingia UDSM? Vilaza wengine ambao hawakufanya vizuri O'level wapi watume maombi yao ya course hii ya ukarani!?
ipo kwenye public domain sawa....mimi natilia mkazo ule ufukunyuzi wake.Kwani ni ya uongo? Si ipo kwenye public domain?