Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

WASHAFISHA SYSTEM NDO HAO HAO WAMEI CORRUPT! MAGU UNAJIONA WEWE NI MSAFI SANA NA KUWASIMANGA WENZAKO KILA SIKU KUMBE UNA MAKANDOKANDO YOTE HAYA! HAKIKA MAGU MUOGOPE MUNGU NA ACHA UNAFIKI! KUMBUKA HIYO NAFASI ULIOPORA YA MWANAO UMEDHULUMU MTOTO WA MASIKINI! HAKUNA JUSTIFICATION MWANAO AMEFIKAJE CHUO KA KUFELI HUKO?
 
Ni kweli. Ila itabidi tu apende kukosolewa hata kama ni kwa sacrifice. Yeye mbona anapenda kukosoa kwa nguvu zote?
 
Basi acha kumponda Magufuli kwanza amekuzidi Kwa kila kitu
Hapana usinitafutie kesi mkuu... Mimi simpondi Magufuli, huyo ni mheshimiwa sana.

Mimi namponda Maku na nimemzidi Urefu, Heshima, Ustaarabu na Akili pekee... Hivyo vingine ni kweli amenizidi..
 
Hapana usinitafutie kesi mkuu... Mimi simpondi Magufuli, huyo ni mheshimiwa sana.

Mimi namponda Maku na nimemzidi Urefu, Heshima, Ustaarabu na Akili pekee... Hivyo vingine ni kweli amenizidi..
Basi shetani awe nawe
 
Wahenga walisema "Nyani haoni kundule" Watoto wa wenzie kawaita vilaza ili hali na wake pia ni kilaza......!
 
Hakuna msafi hapa niupuuzi mtupu eti ana moyo wa dhati. HAkuna lolote .
 
Ni kweli. Ila itabidi tu apende kukosolewa hata kama ni kwa sacrifice. Yeye mbona anapenda kukosoa kwa nguvu zote?
ila sina hofu sana,yawezekana walionyuma ya habari hii ni kikundi cha maadui zake wenye nguvu ndani ya mfumo wa CCM.acha kwanza tuusome mchezo ili tu-connect dot vizuri.
 
Mkuu Steph Curry hatatia neno huyu maana hana pakutokea. Ataminya kama alivyominya kwenye issue ya kuweka salary slip yake hadharani, ufisadi wa Lugumi, UDA, pride, nyumba za Serikali, escrow, MV Dar boti lililooza alilonunua kwa bilioni 8 na mwaka jana likafanya kazi wiki mbili sasa liko juu ya mawe.

teh teh teh teh naona unahamisha magoli tu...

Haki bin haki ni angetakiwa kuwa mwaka wa kwanza...

Jamaa atuambie mtoto wake kasomaje somaje Certificate na Diploma ndani ya miaka miwili..

Atujibu hilo tu mkuu..
 
Nimegundua ndio maana mwezi huu wanataka kutufungia simu zetu, bila hivyo tungejua mengi na hili nalifansnisha na kufungia bunge ili tu sijui kinachoendelea
 
teh teh teh teh Ila mkuu yote 9 ila 10 hapo kwenye boti... Lile boti kama angekuwa kanunua mwingine na si yeye leo hii angekuwa anahangaika na ndoo na pingu pale Kisutu..
 
Bado nasema nyie ni vichwa maji kabisa sijui kusoma hamjui basi hata kuona uongo mnashindwa? Hivi NACTE wana dahili wanafunzi kwenda chuo kikuu?
Tukiacha hayo yote, unakubali kuwa huyu jesca ni kilaza kama alivyowaita wengine?
 
Umeona eeh! Mkuu halafu anatuzuga eti kajitoa kafara kupambana na mafisadi.

teh teh teh teh Ila mkuu yote 9 ila 10 hapo kwenye boti... Lile boti kama angekuwa kanunua mwingine na si yeye leo hii angekuwa anahangaika na ndoo na pingu pale Kisutu..
 
Haya twambieni kama ni kweli kuwa hayo matokeo ya form four ndio yalitumika kama mtoa mada anavyo jaribu kuonesha!
Matokeo hayo inavyoonyesha huyo mtoto alisoma cheti mwaka 1 diploma miaka 2 akijiunga chuo kikuu ila mwambieni Magu aache kutusi watoto wa watu kwa kuwaita vilaza wakati hawana walimu wa sayansi huyo wa kwake angesoma ST. Kayumba angepata zero.
 
Miaka miwili ukiwa unacredit tatu yaani zikiwa zinakuruhusu kwenda advance ndo unaenda kusoma diploma lakini kwan matokeo ya jeska hana credit tatu so anatakiwa aanzie certificate na sio diploma hope utakua umeelewa
Kama ni hivyo kwanini Magu amewatimua wale watoto pale UDOM.
 
Miaka miwili ukiwa unacredit tatu yaani zikiwa zinakuruhusu kwenda advance ndo unaenda kusoma diploma lakini kwan matokeo ya jeska hana credit tatu so anatakiwa aanzie certificate na sio diploma hope utakua umeelewa
Kama ni hivyo kwanini Magu amewatimua wale watoto pale UDOM,, wangesoma miaka mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…