Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Kwa kweli kuita watu vilaza kakosea sana na sio kwamba katukana wale watoto tu bali watanzania wote waliowahi kupata div 3, 4 ni vilaza.
 
Wanasema yupo mwaka wa pili si alifukaje huko??
 
Kipindi huyu jamaa anasema atatumbua majipu nilijua atavunja mikataba yote inayotunyonya kumbe ilikuwa kuonea watumishi wa umma.
 
Reactions: BAK
Duhh! Leo ni siku ya Jesca John Magufuli. Ama kweli ukiwa jumba la vioo............
 
kaka, kama hii si kazi ya photoshop basi hili ni balaa sasa aisee. sidhani kama ni jambo jema na la busara kuchafua familia ya kiongozi wa ngazi ya juu!!!!!!!!!

Wale WA masikini walipoitwa VILAZA hawakuchafuliwa. Huyu kuonyesha kwamba ana DIV IV na wmechaguliwa kujiunga chuo tayari kachafuliwa.

Tumieni Akili Mkuki kwa Nguruwe Tu.....!
 
Kulikuwa na haja ya kuwarudisha nyumbani kwanini watoto hawa wanaoitwa vilaza wasingemaliza wapelekwe hata shule za msingi.
 
Kilaza wa magufuli huyo halafu alidahiliwa Dodoma unachamba wakunga na uzazi ungalipo huyu raisi anajiumbuwa mwenyewe
 
Hapana, haiwezekani...huyo kilaza hawezi kuwa bintiye John Pombe Magufuli, mnampakazia tu. Hebu tuambieni basi, kama ni kweli je yuko wapi sasa hivi? Nauliza kwa sababu hapa Tanzania kilaza kama huyo hakupaswa kwenda Chuo chochote kile.
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Okay 2012 chet
2013 Diploma 1
2014 Diploma 2 oopsss!!!!! alichaguliwaje hapo! na unajua mwisho kuomba huwa ni lini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…