Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mnamtia Magu hasira amini nawambieni atalipiza kisasi
Watoto wenu hawaiona chuo na mkizingua anafuta vyuo vilivyopo
 
Acha mahaba go google jina hilo utqona matokeo ya 2011.
View attachment 353085View attachment 353086
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM
 
Ni kauli ya mzazi wake ndio kizungungumkuti.
 
wanafunzi wa UDOM ilikuwa ni special diploma iliyoanzishwa na serikali kwa ajili ya kupunguza uhaba wa walimu wa sayansi..wanafunzi hawakujichagua wenyewe walipelekwa na serikali ya ccm hawana kosa lolote..

Tatizo kubebana ...
Makubaliano no kudahili Div I na II awe na A au B kwa masomo ya Sayansi. Wajanja wamewaingiza vilaza waliopata Div. Four, C,D na F
 
anasoma B.com HRM UDOM akimaliza jiandae kumkuta BOT
 
Hapo jina lipo na ni form four lakini kusema alikwenda chuo na kuweka screen short inayo onesha NACTE wakati NACTE hawahusiki na chuo kikuu ni uongo na kawadanganye vilaza wenzio!

Wanao husika kudahili wanafunzi kuanzia level ya degree ni TCU!
wanafunzi waliosoma kuanzia certificate na diploma katika kuomba degree wanapitia Nacte ......direct entry wale wa form 6 ndo wanapitia TCU ...kiazi wewe au tukuite NDEZI
 
we hata akili huna huyo mzee hana njia ya mkato .mpaka kwake
 
Kwani kilaza ni tusi???

Huu ni wasifu wa mtu asiyeelewa.
 
Kuja kufikia 2020,watu wengi watakuwa na mapresha kwa ndonga anazowapa magufuli,ngosha hajui kumung'unya maneno
 
Mimi nilichoona hapo ni Email tu..
Hayo mengine wala hayanihusu..
Ngoja nmtafute/kumsumbua nione kama atafaa kwa matumizi ya mwanaume.. huenda akanisaidia siku za mbeleni
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Deceit=Re-seat
 
wanafunzi wa UDOM ilikuwa ni special diploma iliyoanzishwa na serikali kwa ajili ya kupunguza uhaba wa walimu wa sayansi..wanafunzi hawakujichagua wenyewe walipelekwa na serikali ya ccm hawana kosa lolote..

Watu wengi wamekengeuka kummunga mkono JPM bila kujua kuwa hii ilipangwa na serikali. Tatizo likawa kwenye usimamizi wa utekelezaji. Tufike mahali tukubali kuwa serikali imekosea. Mgomo wa waalimu ulikosa majibu kiasi kwamba JPM kwa kumtetea Ndalichako kaona atumie mabavu kwa kusingizia kuwa utaratibu uliofuatwa ulikuwa na kasoro
 
Reactions: BAK
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD

Kuna haja ya kuhakikisha kuwa hata hawa wa certificate, diploma hatnaye digree lazima awe alipata credit nzurimtihani wa kidato cha nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…