Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Bila shaka atatafutiwa chuo cha size yake, udom mbele kwa mbele.
 
Mtoto was nyoka ni nyoka.Mtoto kilaza ni wa .......
 
Nchi hii bwana! Asanteni sana jamani
 
Kilaza ni jina la mwanamziki wa zamani aliyeshindwa Katika mashindano na mbaraka mwishehe,kuanzia hapo kila mtu anateshindwa uitwa kilaza.
 
ndiyo ,hata wakati mwingine hauhitaji Diploma na form6, unaweza kuwa na certificate na baadaye ukajiunga chuo kikuu na ukafika uko ukawaungisha tela wale wa diploma na four six. ....Waulize wenye vyeti vya FTC za DIT, MIST n.k
 
Matokeo yalitoka February au March mwaka 2011

Certificate kaanza September 2011 mpaka May 2012

Diploma September 2012 mpaka May 2014


Degree September 2014 mpaka June 2015 first year

mwaka wa pili September 2015 mpaka June 2016


Bado kuna swali?
Hii haiwezekani kwa MTU aliyepitia diploma kuanza sawa na mtu ambaye amepitia diploma kuanza sawa na mtu wa form six, kwa mfumo wa elimu ya Tanzania hakuna certificate miezi 8 ama diploma inayosomwa bila kufanya field, kwa huo mda ambao amemaliza field alifanya lini? Graduation na kupata transcript ama vyeti vya vyuo ili kuombea NACTE alipata lini? Ina maana chuo alichisoma hakikuwa kinafanya field? Unajua huo mwaka deadline ya watu wa diploma na CAS kwa ujumla ilikuwa ni lini?
 
Hayo ndo matatizo ya kuchanganya watoto wa viongozi wakubwa na raia wa kawaida ndo maana wanapelekagwa nje kuepusha shari kama hizi kwahyo kama babaake ni raisi lazima na mtoto wake awe na akili kama kama alifeli inamaana ni kalaza kama wengine nahilo ni jambo la kawaida tu.
 
Dah watu mnafukunyua!!!! hadi ya chini ya kapeti, lol!!
 
Umenena vyema. Mfumo wetu wa kusoma macounter book ya miaka 4 uyafanyie mitihani siku moja ni mbaya mbaya mbaya kabisa. Notes ni nyingi na walimu wengine kazi yao kusoma insha na sio kuelewesha. Mwanafunzi ukariri history na bios na physics na civics etc y miaka 4.
 
Kumbe hakuna haja ya kusoma A-level siku hizi -raha jamani mwee
 
Kwa hiyo ulitaka nayeye ampendelee?Suala hapa ni kusimamia misingi.Uanzie cheti,diploma ndio uende shahada.
Mkuu tatizo wengi wetu tumesikiliza ile hotuba tukiwa na subjectivity, ukiisikiliza with objectivity utamwelewa vizuri Pombe analenga nini.
 
Siasa siasa shededea yawenzako washededee yakwako fukunyua yawenzako wafukunyue yakwako hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…