Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?


mbona ata sh.10 ni ela lakini haina thamani haiwezi kununua ata bumunda.
 


kwani matokeo ya mitihani ni siri? Hebu acheni kufanya siri hata mambo ambayo yanatakiwa kuwa wazi. Inabidi tujenge taifa la uwazi na ukweli. Mnataka mfanye siri ya matokeo ya mtu halafu huyo mtu apelekwe ki ujanja ujanja hadi awe Doctor (Fake) aue watu? au awe Engineer majengo yaanguke? Kwenye elimu lazima tuwe wawazi na wakweli.
 

Keleweke ndo nini?? kama ni mtihani wa kiswahili umepoteza maksi 10
 
Wananunua mitihani! wengi wao wakienda A-level kwenye shule za kawaida huwa wanafeli sana!

hivi shule za waislamu wao hawana hela ya kununua mitihani??
 
Jamani HEBU TUPENI LINK NZURI AISEE!
 

Nakwambia na hiyo nne yake miaka 10 ijayo utamkuta mtu fulani ktk taasisi za Serikali labda Dr.Magufuli afe leo.Huo ndo ukweli..Mimi ninamifano mingi tu ya watu kama hao nillisomanao A-LEVEL wakapata 0 lakini sasa wananafsi kubwa sana hapa Tanzania...BoT,TRA,TEA, TIC,RITA wewe karagabao.
 
TUNAOMA MTUPE LINK PLEASE!! Sijaamini!
 
Anyway alipelekwa akakuwe tu na apate cheti cha form 4,
atahamia shule nzuri ufaranza akiandaliwa kuwa kiongozi baadae
 
CSEE ya mwaka 2006 matokeo yalionesha namba na initial tatu za mwenye hiyo namba, na ACSEE ya mwaka 2009 matokeo yalionesha namba tu za mhusika. Coincidentally mtoto wa Joyce Ndalichako(Dajos?) alifanya mmoja wa watahiniwa.
 

Siri ya nini ... mzee huu ni usawa wa ukweli na uwazi.... ndio vizuri wajitahidi waliobaki mashuleni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…