Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

maguful anazipitia hiz comment...nahisi kama vile anajiskia kufakufa hivi kama si kujinyea..jeur,kiburi,na dharau kwa watoto wa masikini...ona sasa jamani kaumbuka


Wapi Caterpillar[emoji16]
 
Hivi huyu "mkulu" alipata division ngapi o-level and a-level? Na "mama wa kwanza" pia CV yake ikoje?
Najaribu kufikiria guts za kuita wengine "vilaza" anazitoa wapi.
Mmeshaanza umbeya wenu! Mheshimiwa baada ya kumaliza Form VI, akagoma kwenda univesite na badala yake akapiga rivasi akaenda kusoma diploma ya Ualimu! Usiniulize kwanini hakwenda kusoma digrii ya Ualimu ikiwa alipenda sana Ualimu... ckujibu na in fact, tusisumbuane!

Mama sasa... tuelewane; mama na yeye kwa ajili ya mahaba yake ya Ualimu akaenda kusoma ile nanii ile lakini akaona co issue kaamua zake kuwa mwalimu wa premari! Don't forget, watu wana midgrii yao na inafundisha premari; so don't insinuate anything... sometimes watu wanajifanyisha tu kuwa walimu wa premari but wanaweza kumwaga nondo hata anazokula dada Jesca leo hii!
 
Reactions: SMU
Kweli nyani haoni kundule, anayewatukana wenziye vilaza mbona naye alikuwa kilaza ndiyo maana alilazimika kusoma NUSU KOMBI Mkwawa. Waliokuwa wanafaulu vizuri form four wakati ule walikuwa wanaendelea na form FIVE siyo Diploma ya Ualimu. Waliokuwa kuwa wanasoma Diploma Combination zilikuwa zimegoma (walikuwa wamefaulu nusu Kombi).
 
Huyu Binti wa JPM alianza kusoma Kozi ya Certificate ambayo entry qualification ni kuwa na alau "D" nne. Baada ya hapo akasoma kozi ya Diploma na baadaye sasa yupo chuo kikuu. Nadhani sasa hakuna tena utata.Ahsante
 
Mimi thimooo...haya umesema wewe pekeyako!😀😀😀😀
 
Kwa njia yoyote niliyoitaja na hiyo unayoisoma itatosha kumpa sifa ya kudahiliwa kwa kozi ya shahada.
Popoma ni wewe uliyezaliwa na bi mkubwa mwenye ugonjwa wa upopoma Kwani umebaki kubuni tu bila kuwa na uhakika ya sifa alizodahiliwa nazwo mtu unayemtuhumu. Kitendo hiki ukifanyacho ndio upopoma.
 
Huyu Binti wa JPM alianza kusoma Kozi ya Certificate ambayo entry qualification ni kuwa na alau "D" nne. Baada ya hapo akasoma kozi ya Diploma na baadaye sasa yupo chuo kikuu. Nadhani sasa hakuna tena utata.Ahsante
Soma ulichoandika.
 
Ngoja atengenezewe maisha yake na vitukuu vyake kutoka namba one.
 
Huyu Binti wa JPM alianza kusoma Kozi ya Certificate ambayo entry qualification ni kuwa na alau "D" nne. Baada ya hapo akasoma kozi ya Diploma na baadaye sasa yupo chuo kikuu. Nadhani sasa hakuna tena utata.Ahsante
Weweee kweli kihiyo kilaza wa mwisho... ingekuwa simple hivyo unadhani Uzi ungekuwa na page nyingi hivyo??? Rudi nyuma soma mjadala kilaza weee
 
Machozi,mateso,vilio,simanzi na kuvunjika moyo hatimaye mwenyezi mungu kaamua kujibu bila kuchelewa,hakika maombi ya wana UDOM yamefika mbele za mwenyezi mungu na roho wa bwana amewaka kwa hasira pasi na wa kumtuliza
Hasira ya bwana i-juu ya mfalme na bwana amewaondoa manabii wake juu ya nchi tayari kwa mapigo saba yatakayoleta kilio kikuu na kusaga meno

Ni nani atasema na bwana ili azuie hasira yake na mapigo hayo?

Tazama naona malaika wa bwana wakijipanga tayari kutimiza alitakalo bwana wa majeshi atawalaye mbingu na nchi
 
HAKUNA NAMNA MAGUFULI AKALITOE LI KILAZA LAKE PALE UDOM HAYA NDO YANAYOTUHARIBIA NCHI
 
Mkuu kama alirudia pepa we unajuaje?lakini ungeweka yako hapa tuyaone,hii ndo kazi tunayoweza kupekenyua habari za watu,njoo huku mriba tulime mpunga haya hayawezi kumfanya jamaa hasiwe raisi au hayawezi kuwarudisha watoto wetu UDOM.
Unatafuta U DC?
 
Mpendwa Rais Magufuli ni kweli MWANAO alikuwa na DIV IV na yuko UDOM?
Kama kweli wewe ni mzalendo naye kamnyofoe huko!! otherwise utakuwa wa rangi mbilimbili!! hope utasoma ama wasaidizi wako wtakwambi kuwa matokeo yako JF
 
Ndio umeagizwa uje ubadili upepo?

Waite akina Ritz,

QUOTE="Msororo69, post: 16387971, member: 355075"]Kwa njia yoyote niliyoitaja na hiyo unayoisoma itatosha kumpa sifa ya kudahiliwa kwa kozi ya shahada.
Popoma ni wewe uliyezaliwa na bi mkubwa mwenye ugonjwa wa upopoma Kwani umebaki kubuni tu bila kuwa na uhakika ya sifa alizodahiliwa nazwo mtu unayemtuhumu. Kitendo hiki ukifanyacho ndio upopoma.[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…