Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Dk mihogo kwishaa Mzee Mwanakijiji kwishaaa kifo cha mende chaliiiii
Hahahahha umenikumbusha msemo wa Felix Mkosamali mwaka Jana nilipokuwa mwangalizi wa uchaguzi mkuu jimboni kwake Muhambwe Kigoma alikuwa anapenda kutumia kauli hiyo "nyakanyaka, chalichali na kifo cha mende" basi akawa anashangiliwa mbaya, watu walivyo wanafiki wakamgeuza kifo cha mende kwenye matokeo....hahahahahha
 
duh hii kali, kujifanyanya niombeeni , niombeeni as if kweli ana hofu ya MUNGU, mtu mwenye hofu ya MUNGU hawezi kufanya dhuluma kubwa kama hii
 
Suala hapa wanahoji matokeo ya huyu binti au wanahoji kufika kwake Chuo?
jibu ni moja huyu binti ana nafasi kufika chuo kikuu na haki ya kufika chuo kikuu pia, alisoma Certificate akasoma diploma then akaenda chuo ninutaratibu ambao upo kisheria. au yawezekana alirudia kidato cha nne akapata credit akaenda advance then chuo. easy tu
 
View attachment 353228

St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F

============

View attachment 353229
NECTA CSEE 2011

Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM.
aibu yaani analopoka kwenye vyombo vya habari eti saint joseph imechukua form iv ya divisheni IV ya D nnekusoma degree ya ualimu kumbe mwanae ndio hovyoo kabisa bila hata aibu anasoma degree na matokeo machauu,bunge lipige kura ya kutokuwa na imani naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…