Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Wakati wanapitia sifa za wanafunzi, network ilikuwa bize, ika sikp jina la Jesca, nikawaida mitandao yetu hii unaambiwa 4G, kumbe ni 2G. Litashughulikiwa tuache jaziba
 
Kumbe mtoto wa mkuu naye ni kilaza! Tz tumepatikana aisee
 
Hata hii kama ni kweli, ina harufu ya ufisadi. Acha tusikie wengine watakaokuja na utetezi. Lugumi si inashughulikiwa na kamati ya bunge?[/QUOT
Hivi ya mtoto wa mkuu inashughulikiwa na kamati ipi?
 
Anaweza pia mtu akasoma professional course (certificate) mwaka mmoja then akasoma foundation course mwaka mmoja baada ya hapo anaruhusiwa kuomba shahada ya kwanza chuo kikuu.
Inawezekana hata huyu akawa kapitia mfumo huu, na ni mfumo uliopo na unatumika na TCU na NACTE
 
Mtoto wa Kapuku ndio KILAZA na hafai kusoma special Diploma, lakini mtoto wa kiongozi ni "failure by accident" na anastahili kusoma degree course.
sasaje, nyani haoni kundule!
 
Kimahesabu kama alijiunga na kidato cha tano shule binafsi huku akiwa anarisiti mtihani wa kidato cha nne hiyo inawezekana kabisa!! Labda tutafute matokeo yake ya kidato cha sita.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kidato cha sita asingedahiliwa na NACTE angedahiliwa na TCU
 
Naomba ufafanuzi kuhusu huu mfumo, na ni kwanini basi wanafunzi wasi opt njia hii kuliko kuzunguka certificate, diploma then degree
 
ila haimuondolei ukilaza maana ana viddd
 
HIVI HUYU BINTI ANGESOMA SHULE ZA KATA ANGEPATA NGAPI ?
 
Muwe na nizamu na mtoto wa bingwa jamani ohooo
 
Mwalimu Nyerere alisema "mtu kusema mambo yanayofanyika na kuendelea nchini lazima huwe na kichwa cha mwendawazimu" haya mambo yalikuwepo mda atukupata mtu jasili anayependa nchi yake na aliyejitolea hata kufa kwa ajili ya nchi yake. Magufuli kaza buti hii inchi watu wachache ni ndumila kuwili wengi tuko nyuma yako
 
Mkuu unamjuaje mwanafunzi ana uwezo wa astashahada, yaani kabisa mwanafunzi aliyepata div 4 ya 30 asome diploma
Anasoma vizuri na kufaulu. Huu usomji wa muhula na kufanya mtihani kisha unakusanya wastani wa pointi. Anaweka hata kutoka na daraja la kwanza la chini hata juu.
 
Unaelewa mada iliopo mezani! Au ndio mahaba niuwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…