kaka, kama hii si kazi ya photoshop basi hili ni balaa sasa aisee. ila sidhani kama ni jambo jema na la busara kuchafua familia ya kiongozi wa ngazi ya juu!!!!!!!!!
Jina umelipataje acha uongoSt Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
google mkuu uhakikishe.kaka, kama hii si kazi ya photo shop basi hili ni balaa sasa aiseeeeeee...........
We kama hujui uliza, hichi ndo kizazi kilichobadilisha matokeo kutolewa kwa namba siku hizi.Jina umelipataje acha uongo
We chizi nini kufeli kunachagua ccm au bawachavilaza hawa watoto wamenyweshwa damu ya ccm
ahahahahabora yeye kiinglish ana "C"
Kamaliza form four 2011 matokeo 2012 , miaka miwili ameclear miswaki, amesoma certificate, amesoma diplomaHuenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Retaliation!?!?
Ingia google andika CSEE 2011 results st.mattew upate full scriptJina umelipataje acha uongo