Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hizi hoja huwezi kuzibomoa hata waamke magwiji wa propaganda kutoka wapi.....haki inalia na haitanyamaza mpaka mabinti na vijana wa UDOM walioumwa na mbu stendi watakapoheshimiwa na kuombwa radhi

Hakika........hasira ya bwana wa majeshi i-juu ya mfalme,kampiga upofu na ona,kawaondoa manabii kutoka uso wa nchi.....ni nani basi ataipoza hasira ya bwana wa majeshi??? Ni nani atamwambia mfalme avae mavazi ya gunia na kugalagala ili apate kibali cha mbingu

Tazama masikio ya bwana yamesikia kilio kikuu cha wanafunzi wa UDOM na hakika mbingu hazitakaa kimya
 
Fanaya tafiti tena ndiyo urudi na pumba zako. Je kama alilisiti hiyo form four na kupata dalaja la kumuwezesha kusoma certificate to diploma then degree?? Au kama alilisti hiyo form four then akaenda form five na six then akafanya certificate then degreee?? Unajua nyie wengine akili zenu zimekaa kizembe kizembe. Mi kuna kijana namfahamu alipata zero kabisa akaristi akapata div four ya 28, then akaenda certificate then diploma sasa yupo degree. Ktk mazingira hayo ukiangalia ule mwaka aliofanya mtihani wa form IV mara ya kwanza utakuta ana zero, na hiyo scenario inaweza kuwa kwa huyo Jesca. Nitakuita kilaza mpaka utuletee ushahidi kuwa hajawahi kuristi.
 
chuo gani hapa Tanzania mihula yake inaanza mda ulioutaja wewe nakuisha mda ulioutaja wewe kwenye maelezo yako
 
Nyie Changieni lakini Sheria ya Mtandaoni nayo inawasubiri uzi huu hadi kumarizika kujadiliwa itaondoka na wengi,Maana watu wanachangia kwa jaziba sana, Kisa Wanafunzi wa UDOM, Binafsi, Siungi mkono Wanafunzi kumaliza form four na kujiunga na Diploma au Digrii bila kujali ni mtoto wa nani, Haiwezekani kabisa,Kwanza huko ni kushusha hadhi ya Sisi tuliosotea Digrii na Diploma. leo mtu apate Digrii kiurahisi kiasi hiki? Kuhusu kufukuzwa kwao na Wabunge kuanza kuwatetea kwa kuilaumu Serikali, Mimi nawauliza Wabunge wote wa vyama vyote, Je wao kama Wabunge wamewasaidiaje hao Wanafunzi kifedha? kwanini hawakuagiza posho zao zikatwe zielekezwe kwa hao watoto kama kweli wanauchungu? Au kwa kila Mbunge mmoja mmoja kwanini hakwenda kubagua wanafunzi wanaotoka jimboni kwake na kuwasafirisha makwao kwa kutumia pesa za mfuko wa jimbo wanazopewa kila mwisho wa mwezi na badala ya kuilaumu Serikali?Mbona ni wepesi kuwachangia wasanii kuliko wahitaji?
 
Magu fuli tuambie Mbinu ulizotumia kumchomeka Kilaza Jesca UDOM, ni muhimu tukijua
Hhahaaa...wewe ni genius...inaonekana wazi ulipata division one...magu fuli atujibu hilo swali la msingi!
 
Nyie Changieni lakini Sheria ya Mtandaoni nayo inawasubiri uzi huu hadi kumarizika kujadiliwa itaondoka na wengi,Maana watu wanachangia kwa jaziba sana, Kisa Wanafunzi wa UDOM, Binafsi, Siungi mkono Wanafunzi kumaliza form four na kujiunga na Diploma au Digrii bila kujali ni mtoto wa nani, Haiwezekani kabisa,Kwanza huko ni kushusha hadhi ya Sisi tuliosotea Digrii na Diploma. leo mtu apate Digrii kiurahisi kiasi hiki? Kuhusu kufukuzwa kwao na Wabunge kuanza kuwatetea kwa kuilaumu Serikali, Mimi nawauliza Wabunge wote wa vyama vyote, Je wao kama Wabunge wamewasaidiaje hao Wanafunzi kifedha? kwanini hawakuagiza posho zao zikatwe zielekezwe kwa hao watoto kama kweli wanauchungu? Au kwa kila Mbunge mmoja mmoja kwanini hakwenda kubagua wanafunzi wanaotoka jimboni kwake na kuwasafirisha makwao kwa kutumia pesa za mfuko wa jimbo wanazopewa kila mwisho wa mwezi na badala ya kuilaumu Serikali?Mbona ni wepesi kuwachangia wasanii kuliko wahitaji?
 
Kama ni kweli,na huyo Jesca kama nayeye si miongoni mwa waliotimuliwa Udom,hii itakua dhambi kubwa ambayo haijawahi kutendeka hapa duniani;ni zaidi ya uonevu,kumuacha kilaza mkuu chuoni na vilaza wadogo kuwarudisha uraiani..!!
 
Watoto wenzako wameshalala
 
Natangaza rasmi..this is my best quotation of the year!...Baba jesca where are u?Joniii oh joniii?
 
Ficha ujinga wako mbele za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…