Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Nakumbuka hawa watoto walipokezana vijiti maana baada ya jesca 2011 kuukwa uzi namba 30 mtoto wa mzee kikwete naye 2011 akiitwa aisha kikwete aliukwaa uzi namba 26 toka feza girls

Na kuanzia hapo ndalichako akaa muliwa matokeo yote sasa yatakuwa yanatolewa kwa namba na si majina

Hahaha 2011 was amazing playground of vigogo daughter s
 
Ndugu zingatia matumizi ya "l" na "r" maana kiukweli unaharibu lugha...
Au hukusoma sarufi nini,? Au pengine unafanya makusudi!
 

Hapa ni suala la hesabu tu ndio utaelewa, chukua mwaka aliomaliza form four, plus mwaka wa kurisit, certificate, diploma na baadae mwaka aliodahiliwa UDOM utajua pumba ni ipi na mchele ni upi. Ni dhahiri umenipotezea muda wangu kujibu ambacho hakistahili kujibiwa but pole kwa kukupa kazi nzito japo naamini utakuwa umeelewa
 
Ile inahusu mambo ya uongo na uzushi , haina nguvu kwenye hoja ya ukweli na yenye ushahidi mwanana uliojaa vielelezo kama huu .
Inaweza ikawa applicable pale itakapotokea lugha ya kuudhi dhidi ya rais wetu mwema!
 
Mmeshaambiwa alipata Dv 4 points 30 na kiufupi haikutakiwa hata kufikilia sio kufikiliwa kujiunga na Chuo.Bk 7 punguzeni njaa vingine haviwezi kutetewa.baba Jesca apunguze ropo ropo
 
Nnacho amini ni kuwa, eti unasema tuachane na wanasiasa wakati hata wewe unatupiga siasa! Ila mheshimiwa umesahau siasa ni maisha lakini si hii unayotuambia! Ungekuwa muungwana ungesema nimelipa ada ya kilaza wangu yupo udom narenyewe rirudi nyumbani maana niritoto ra kiongozi! Mwalimu Nyerere alishawahi kusema mficha maradhi kifo kitamuumbua. Anyway tuache hayo ila Jesca arudi nyumbani!
 
Sikutaka kuku-degrade lakini nimekosa namna, inaonesha how narrow your mind is, unajua application za vyuo huwa zinafungwa mwezi gani, ulishawahi kuona mtu amemaliza diploma mwezi wa nane akadhiliwa bachelor moja kwa moja kwa miezi uliyoitaja?? Anamaliza mwezi wa nane kisha matokeo yanatoka lini na kisha aweze kuapply chuo na kusubiri selection na kupangwa chuo??? Use your common sense basi usiendelee kujiaibisha...ndio maana awali nikakuuliza level of your education
 


Jibu hayo maswali aliyouliza....Wacha kutapatapa!!!!
 
Mbona hamuonyeshi baada ya hiyo division IV ya CSEE alisota na certificate course na baadaye na diploma ya ngazi ya NTA Level 6 na ndipo akajiunga na hiyo kozi ya NTA Level 8 inayoitwa Bachelor degree.

Halafu mna uhakika gani kuwa huyo ni mtoto wake? Yaani yo yote ambaye jina lake ni Magufuli lazima anauhusiano wa kiukoo na raisi wetu?

Kweli nyinyi ni vilaza!!
 
Mbona unaandika pumba hivyo jesca?Ina maana una risiti miaka inakusubiri tu na ghafla unaruka kwenda digrii...jesca kwanini unamdhalilisha baba yako kwa kuandika pumba hivyo mpaka kila mtu ajue ulipata div 4 ya 30?
 
Pamoja na udhaifu wa jk.. alikuwa anachunga kinywa chake.
 
Ivi ishu ya huyu mtoto imeingiaje kwa wanafunzi hawa wa UDOM wa diploma? Na je mmeelewana kusema hizi namba hapa kwa ajili ya ushaidi wako wa kisiasa!!? Tumia logic kidogo usije sababisha watu wakasumbuliwa kwa kupigiwa simu za Mara kwa Mara bila dhamira yao.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…