Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Nonsense kabisa na wale waliofukuzwa 7000 nao hawajadhalilishwa
moderators wana double standards. matokeo ya mbowe hawakutaka tujadili walifunga mjadala huu wanauacha ukiendelea kudhalilisha watu sio sawa kabisa.
 
moderators wana double standards. matokeo ya mbowe hawakutaka tujadili walifunga mjadala huu wanauacha ukiendelea kudhalilisha watu sio sawa kabisa.

Hata ya Nepa nayo walimute
 
Wakati nachangia apa, nipo juu ya mti, kwa sababu ya Netowor, mwanangu Malisa mimi ni sawa na Babako, matahalani umeisha fanya wa Utafiti kuntu wa Jesca kwa nini usinifanyie wa EDINA JOHN POMBE MAGUFULI ili move ikamilike vyema? tafadhali sana naomba msaada wako maana sasa naanza kujiwa na wasawas kuwa yawezekana hata uzao wa kwanza wa Broo yangu Magu haukurithi kukalili uefu wa barabara, maana jamaa yangu mmoja sasahiv ni Mgambo yupo mtwara ananiambia alisoma na huyu binti! chuo kikuu ebu Malisa dadavua na huyo.
 
Namuheshim na kumpenda sana mama Janeth festledi wetu ndio maana kwenye huu mjadala nimejiweka mbali
 
Sio kilaza ni kilaza mkubwa kama ........ anavyokurupuka na maaamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…